Kuna wanawake pia hawaolewi kwa taratibu za kiimani na afya km wanaume kwahiyo mwisho wa siku ratio inabaki ileile. Usihangaike kwenda kufanya reserch, bonyeza key board, search utaona. Tena huenda ikapungua maana wanawake wana life span kubwa
katika maeneo yote niliokutajia sio unatangaza nia, unaangalia mwenyewe kwa muda ukiona anaekuridhisha ndio unamtokea, hivi mie kama mwanamke hata kama ningekuwa sijaolewa ndio mwanaume aniambie ananiweka kwenye probation aone kama naqualify kuwa mchumba! hata sikubalisawa ila there is no law without exception! Ningetaka huko hata nsingekuja hapa. Pia kufahamiana kwa muda ndo maana nkasema kuna probation,cjui kama umepitia na kunielewa vizuri. Kweli kupitia friend ni kama wewe friend au mpaka tuwe tumeonana?ukinshauri tuonane aitakuwa tabu. Katka sehemu ulizotaja ni sawa ila najitahidi kupractise morality!ya nini nsingizie kwenda kanisani wakati naenda kuangaza macho?sitaki kumwongopea mola,pia msimamo wangu ni kwamba naifuata dhamira yangu. Siwezi kuacha kufanya kazi nkaanza kuwaita wafanyakazi wenzangu. Hata ivo maadili ya Kihasibu hayaruhusu. Ila ni ushauri mzuri,nashukuru. Kama Mungu atamleta kupitia huko,pia ntashukuru ila sitaki kutumia njia iyo kama pekee pia ktk maandiko matakatifu naona wote walikuwa wanafunuliwa kutoka mbali mf.queen of Sheba, samson and delila, king solomon, mt.joseph and Maria...kuhusu dot.com kwa sasa ndo kila kitu. Ebu fikiria maisha yako bila electronic access kama cm,Lady ingekuaje? Hata hapa napata ushauri wako maridhawa kwa kupitia dot.com,ni muhimu kuliko maelezo dada angu!au unasemaje?!
mkuu si mnada ni maongezi ktk mchakato,nipo napata ushauri maridhawa,nimependa sana kwa ushauri wenye hekima kutoka jamvini.
Mambo mamii,umechelewa kufika JF usiku huu nami natangaza nia KWAKO,napita tu nasogea ku-bed.kama kweli uko serious na umeona huyo mtu my be u do have something in common ,
si unamwomba mingie PM jamani mjadiliane, muongee, mcheke, mlie yaani mpaka kieleweke..
au we waonajeeee??
mkuu nipe data mana naona unafaa kuwa mtoto wa mzaa chema! Ukimwelekeza hutokaa ujutie uamuzi wako. Marriage procedure namaanisha sitaki kumwona leo tunamaliza kila kitu na haitachukua siku moja au mbili ni miezi au hata mwaka. Mi bado kijana ,elimu safi,sitopenda kukurupuka. Ndo nkasema kuna probation period.
kama kweli uko serious na umeona huyo mtu my be u do have something in common ,
si unamwomba mingie PM jamani mjadiliane, muongee, mcheke, mlie yaani mpaka kieleweke..
au we waonajeeee??
katika maeneo yote niliokutajia sio unatangaza nia, unaangalia mwenyewe kwa muda ukiona anaekuridhisha ndio unamtokea, hivi mie kama mwanamke hata kama ningekuwa sijaolewa ndio mwanaume aniambie ananiweka kwenye probation aone kama naqualify kuwa mchumba! hata sikubali
katika maeneo yote niliokutajia sio unatangaza nia, unaangalia mwenyewe kwa muda ukiona anaekuridhisha ndio unamtokea, hivi mie kama mwanamke hata kama ningekuwa sijaolewa ndio mwanaume aniambie ananiweka kwenye probation aone kama naqualify kuwa mchumba! hata sikubali
Mie naomba nikusahihishe kwenye Takwimu. Si kweli ratio ya wanaume kwa wanawake kwa Tanzania ni hiyo uliyoitaja. Kwa mujibu wa letest census (2002), Mgawanyo ni Females are 17658911 while males are. 16910121. Kwahiyo ni 1:1.04
Yah hata mimi nilitaka kumwambia lugha hii si chema sana kama uko serious ingawa anaweza asiwe na nia mbaya...
Ni sahihi kuwa kuoa unahitaji muda wa kumjua mwenzako na kujiridhisha kuwa ndio mutu unayetaka kuwa karibu naye siku zote.
Kwa mantiki usitumie kabisa neno hilo maana is obvious kuwa mnahitaji muda wa kujuana ,na ukilitumia linaleta maana tofauti sana ya kukwaza.
Safi sana unahitajia kuchukua muda wa kujuana kufikia ndoa ,usipungue mienzi sita.
Just for curiousity during what u call probation period utakuwa una gonga !!?
...
no. hupaswi kutumia mpaka mkubaliane. Waswahili unena:Kama kuku wako,manati ya nini,si unamsubiri bandani?
Safi sana unahitajia kuchukua muda wa kujuana kufikia ndoa ,usipungue mienzi sita.
Just for curiousity during what u call probation period utakuwa una gonga !!?
...
no. hupaswi kutumia mpaka mkubaliane. Waswahili unena:Kama kuku wako,manati ya nini,si unamsubiri bandani? Nashukuru kwa kuntakia kheri.
Na ukiwekwa ndani kwa ufisadi nani atamwangalia??Sie ndo watengeneza fedha bwana,niko tayari vitabu vya kampuni visibalance ili mama watoto anone!
Mambo mamii,umechelewa kufika JF usiku huu nami natangaza nia KWAKO,napita tu nasogea ku-bed.
inabidi nimsamehe bure najua ametumia lugha ya .com zaidiYah hata mimi nilitaka kumwambia lugha hii si chema sana kama uko serious ingawa anaweza asiwe na nia mbaya...
Ni sahihi kuwa kuoa unahitaji muda wa kumjua mwenzako na kujiridhisha kuwa ndio mutu unayetaka kuwa karibu naye siku zote.
Kwa mantiki usitumie kabisa neno hilo maana is obvious kuwa mnahitaji muda wa kujuana ,na ukilitumia linaleta maana tofauti sana ya kukwaza.
X-Paster yani umenichekesha mpaka basi. Cjui kweli x.pastor,mana umenipa hoja nyingi za ukweli ndani ya setensi chache. Cjui kama naweza kukujibu kwa ukamilifu. Ntajaribu: nimesema afya yangu ni njema,umbo la kawaida si mnene wala si mwiko kama ulivosema,nna imani nko handsome. Ujasoma vizuri_nimesema SIHITAJI love experience,elimu digrii,MHASIBU,sina jinai yoyote hata kusingiziwa jinai bado!,mkuu ivi mkoa wa Majeshi ni upi huo?! Mi mkristo,nimeanza mikoa hii kwani najua ina hazina ya kutosha,nkikosa huko,basi kabla ya uchaguzi wa Rais mpya wa jamhuri ya Tz ntabidili vigezo. Hapo itaingizwa arusha,pwani na dodoma,mikoa mi3 mi3 mpaka lengo litimie. Note: sina mpango wa kuingiza Zbar katka mchakato,wakijitenga sitaki kuja kwenda kwa wakwe na Visa mfukoni.
kuchunguzana na kufahamia kwa undani kupo sana, ila most of the tym mwanaume mpakumtokea mwanamke na kumweleza nia yake anakuwa tayari keshamchunguza na karidhika naye, inakuwa ni kazi ya m'ke kumchunguza m'me tena ila inakuwa ni kwa siri!lady N una maana hutaki mchunguzane?kama mnatofautiana? Nadhani kwa hekima inabidi muwe na muda mrefu kujua tabia,ndo ninachomaanisha. Ndoa za kutojuana vizuri na kugundua baadae hazidumu!
Yeye kazungumzia ya 2008