Natangaza nia ya kumsaidia WNS,wewe je?

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Nimejitoa muhanga rasmi kuhakikisha huyu bwana mdogo wakati ndio sasa anammiliki charminglady .Hii imetoka na kuona kijana anaelekea kusiko wote ni mashaidi.
Ni kweli nitakua ninawakati mgumu sana katika kufanikisha hili hasa kwa jins ninavyo mjua charminglady ,lakini ntajitahidi kadri ya uwezo wangu.
Nichukue fursa hii kukuomba radhi C6 kwa kitakacho faata baada ya hapa.lakini pia nitake ushirikiano wako.
Ninaomba wale wote wanaotaka kuungana na mimi wajitokeze hasa Madame B St. Paka Mweusi Madahali jnr Arabela Judgement advocate ruttashobolwa Bishanga Preta Kongosho Remmy Mamndenyi hii ni first eleven inatosha kuanza nayo.wengine mnaweza kuongezeka. charminglady tupokee wageni wako
 
Last edited by a moderator:
Aku 2naogopa, mana wataka kumtoa kwa mmewe umpeleke kwa mwingine, hlf wakigombana wanakuja kuomba ushauri hapa
 
Aku 2naogopa, mana wataka kumtoa kwa mmewe umpeleke kwa mwingine, hlf wakigombana wanakuja kuomba ushauri hapa

shemeji woga ni mbaya,usiogope shemeji yangu.mzima lakini?dah sikuizi huna mapenzi na mim kabisa au kwakua nilimucha ndugu yako?
 
Asante mungu, Ruhazwe JR kutokea
hujachelewa kuja kwangu,matunda yatatokea.
ujio wako kwangu,jua linatokea.
unganisha nguvu kwangu,ushindi utatokea.
ahsante mungu, @Ruhazwe umetokea
 
Last edited by a moderator:
shemeji woga ni mbaya,usiogope shemeji yangu.mzima lakini?dah sikuizi huna mapenzi na mim kabisa au kwakua nilimucha ndugu yako?

lazima niwe mwoga, c unajua mnayemtaka ni mke wa m2?
Me cjakususa shemeji, ushemeji haufi hata kama mmeachana
 
lazima niwe mwoga, c unajua mnayemtaka ni mke wa m2?
Me cjakususa shemeji, ushemeji haufi hata kama mmeachana

shemeji umenitenga sana,nikaa his ndugu yako alikuzuia kunipa hai?maana upo mbali kweli na mimi
 
naomba niwe tofauti kidogo charm ni mteja wangu kwa hiyo sitohusika kuharibu furaha yake bali kuendeleza furaha
yake. Nitapambana kuhakikisha mteja wangu anyang'anywi furaha aliyonayo.
 
naomba niwe tofauti kidogo charm ni mteja wangu kwa hiyo sitohusika kuharibu furaha yake bali kuendeleza furaha
yake. Nitapambana kuhakikisha mteja wangu anyang'anywi furaha aliyonayo.

ha,ha,ha,ha,ha,... huyu ndiye man advocate
 
lazima niwe mwoga, c unajua mnayemtaka ni mke wa m2?
Me cjakususa shemeji, ushemeji haufi hata kama mmeachana

Ishieni hukohuko!
Ushemeji umekufa rasmi tangu siku natoa mguu wangu kwa Ruhazwe JR,
Kijino umepewa rushwa?
Sa hv cna ushemeji na mtu.
 
Last edited by a moderator:
Me nina mambo mengi ka' unga wa ngano!
Nakuja.

Bora wewe Unga wa Ngano! Ni vitafunio tu kalas! Sasa mie kama Maji !
Niwaogeshe, wafue, vyombo kuosha, deki , wanywe, waskutue na kunitema, wanawe, wamwagile bustani , nioshe magari, kihansi nikaanzishe umeme, toilet nikaoshe nyeti , nikawabatize, nikawape udhu, nikatunze samaki baharini, meli zipitie juu yangu, nioshe maiti , nitiwe kwenye rediator, hata mifugo waninywe, sometyms wanimwage chini kiholela tu wakimbize vumbi! Unasema ngano ina kazi ?
 
Back
Top Bottom