Natangaza nia kugombea uwenyekiti ccm taifa kupambana na jk 2012

king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
79
kwasababu chama kimekosa kabisa uelekeo na jk amekosa mvuto ndani na nje ya chama natangaza kuchukua fomu za ugombea wa uwenyekiti wa CCM taifa. Katika uongozi wangu ndani ya chama nitabadili mifumo ya kizamani ndani ya chama na kuingiza ya kisasa. vipaombele vitakuwa vitatu

1. kutatua tatizo la ajira kwa vijana

2.Chama kuendeshwa na vijana

3. kukuza uchumi utaomilikiwa na wananchi na wananchi walio wengi



MCHAGUE KING11 KUWA MWENYEKITI MPYA WA CCM KUOKOA TAIFA NA CHAMA CHA CCM
 
Kwa nini usianze kwa kutumia jina lako halisi na picha yako ili tusikuchukulie kama another daydreamer.
 
Wewe ni mwehu, utatutangaziaje huku bila hata kujua jina lako?.
 
somebody said 'day dreaming'......there's no better word than that, it's just that am using a phone ningemngongea ma-likes
 
Wewe utaleta mgogoro kwenye chama,kama hujui hili waulize CUF wakuambia!
 
Back
Top Bottom