Natangaza nia jimbo la Mafia

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Napanga kugombea ubunge Jimbo la Mafia. kwa kweli tayari vigogo kadhaa wenye pesa wanahaha kuleta ndugu zao au wao wenyewe kujitosa.
Wapo watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha ambao wamepanga kwenda kuifilisi mafia na sio kuleta maendeleo.
wanahaha kila Upande kutaka kusimamisha ndugu zao
 
kudadadeki! Naona kama yule mgombea wa kule igunga. Alikuwa na mziki na wafanya kampeni kama 5 hivi! Ha ha ha!
 
Nimesikia good news zitatolewa mapema mwaka huu kuhusu mafuta. Ngoja ngoja yaumiza matumbo!
alaaaa!! ndo maana wamekazana kujenga uwanja wa ndege kiwango cha rami kama wale wa Taifa fulani wanavyokazania kwa karibu ujenzi wa barabara kiwango cha rami toka songea hadi Namtumbo kwenye Uranium. Ukiwa mbunge kule usikubali kiwanja cha ndege cha kutua cesna tu - zinatakiwa kutua jumbo kule - kisiwa ni lulu kile kwa Tz
 
Napanga kugombea ubunge Jimbo la Mafia. kwa kweli tayari vigogo kadhaa wenye pesa wanahaha kuleta ndugu zao au wao wenyewe kujitosa.
Wapo watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha ambao wamepanga kwenda kuifilisi mafia na sio kuleta maendeleo.
wanahaha kila Upande kutaka kusimamisha ndugu zao
Wewe ni nani? Jitambuloishe tukufahamu
 
Back
Top Bottom