Natangaza nampenda "Smile"

yeye si ana uhakika na wewe
mie nikizubaa, naogelea kwenda zanzibar
hahahaa.. lol...ulivyo na wivu umenikumbusha mahausgirl wa jirani yangu walichomana visu wakimgombania baba mwenye nyumba!!!
 
Cantalisia, funguka tu...hata kama ni rejao mtaje tu...

Orait!jaman mwenzen Rejao unaninyima ucngize mie,naomba nikubalie na moyo wangu upate kiota nafsin mwako!dah!ngoja nipumzike kidogo kumbe kutoa mtu c mchezo lol!
 
ooh Canta, karibu sana kwangu, asante kwa kuwa muwazi
Mapenzi kitu ajabu, yakutia bumbuwazi
Yakufanya uwe bubu, kujibu huwa huwezi
Shubiri kwako zabibu, na vitamu huviwezi.
 
Toa majibu bana hujui moyo wangu unavibrate hapa na unahitaji tulizo lako tu na kuwa kwenye silence mode lol!nataka kujikabidhi kwako na kuwa mali yako peke yako,ujilie vitamu kwa kujipimia kwa tani yako,plz rejao inusuru nafsi inayotanga tanga bila msaada lol!
 
Nimeshakufungulia moyo wangu...karibu kwangu utulie!
Moyo wako uweke kwangu, ni wewe kwangu wa pekee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom