Natangaza kugombea ubunge kupitia CCM 2015

Nsabhi

JF-Expert Member
Feb 23, 2011
1,093
162
Natangaza kugombea ubunge kupitia ccm mwaka 2015 ili niweze kuwatumikia wananchi kwa mambo yafuatayo:
1. Kusinzia bungeni
2. Kugonga meza bungeni
3. Kuwatukana wabunge wa upinzani
4. Kuwazomea wabunge wa upinzani
5. Kuikosoa bajeti ya serikali na baadaye kuunga mkono hoja kwa asilimia mia moja
6.Kuwaambia wapinzani wakapimwe akili
7.Kujifanya kwamba nchi haiwezi kutawalika bila ccm
8. Kuwahadaa wananchi kuwa barabara za Tanzania zinajengwa kwa fedha za ccm.
 
attachment.php
 
utakuwa umekosea sana kwani kipindi hicho CCM itakuwa chama cha upinzani na CHADEMA itakuwa chama Tawala,hivyo labda utakuwa unagonga kuwashangilia wabunge na mawaziri wa CHADEMA. madam una haki hiyo kazi njema lakini jipange kwani nguvu ya umma haiwaelewi.
 
Natangaza kugombea ubunge kupitia ccm mwaka 2015 ili niweze kuwatumikia wananchi kwa mambo yafuatayo:
1. Kusinzia bungeni
2. Kugonga meza bungeni
3. Kuwatukana wabunge wa upinzani
4. Kuwazomea wabunge wa upinzani
5. Kuikosoa bajeti ya serikali na baadaye kuunga mkono hoja kwa asilimia mia moja
6.Kuwaambia wapinzani wakapimwe akili
7.Kujifanya kwamba nchi haiwezi kutawalika bila ccm
8. Kuwahadaa wananchi kuwa barabara za Tanzania zinajengwa kwa fedha za ccm.
Duh! hii kali ya mwaka! lakini umejitayarisha kiasi gani ' in terms of' pombe za kienyeji, wali na nyama,kofia, kanga na fulana kwa ajili ya kuwarubuni wapiga kura wenye njaa?
 
Back
Top Bottom