Natangaza kugombea ubunge 2015 - ROMBO kwa tiketi ya CHADEMA

Ni kweli kabisa selasini ameshindwa kuijenga CHADEMA katika wilaya ya rombo huwez ukajua kama linaongozwa na mbunge wa CHADEMA.BEN sasa ni muda wako wa kuchukua jimbo liko waz

Niombee Mungu aniweke hai Kamanda ...Usijali!
 
Niombee Mungu aniweke hai Kamanda ...Usijali!
Jipange mwana.......in two weeks to come i will be there for feasibility study phase two.........stay tuned bse im paving the way......be ready for the feedback kamanda.....Rombo ni yetu xo tuipiganie buddy!
 
mimi kwenye kata yangu nakubalika sana ingawaje sipo Rmb muda mwingi, wakati wa uchaguzi nitakuja na vijana wangu tupembue mbivu na mbichi na baada ya hapo tutapata akili tuwashauri wazee kwa pamoja tumpigie nani na tumtose nani pia .Hatuhitaji chochote kutoka kwa mgombea kwani ss ni vijana wa kazi. Rushwa yako kwetu ni sera na mikakati mizuri ya kuinua uchumi wa JAMHURI YA WATU WA ROMBO.Msiwe na hofu! ENDELEENI KUWEKA NIA.
 
VMark likes this!
 
Jipange mwana.......in two weeks to come i will be there for feasibility study phase two.........stay tuned bse im paving the way......be ready for the feedback kamanda.....Rombo ni yetu xo tuipiganie buddy!
Thanks Vmark.....Tuko pamoja sana kamanda!
 
Mbali ya haya, anza kujihusisha na shughuli zinazowagusa wananchi husika - ambao unatarajia kuwaomba ridhaa yao wakutume bungeni ukawawakilishe iwapo utafinikiwa kukiridhisha Chadema kwamba wewe ndio unastahili kuibeba bendera yake katika uchaguzi mkuu 2015 katika jimbo la Rombo; muhimu zaidi, kwa sasa anza kujihusisha na chama chako (chama unachotarajia kujiunga nacho?) katika jimbo lako lakini bila ya kumvunjia heshima au kumwingilia kazi mbunge wako wa sasa; jitahidi sana kukaa mbali na majungu na fitina kwani mwisho wake itakuwa ni malumbano yasio na tija kwa wananchi wa rombo, hasa katika nyakati hizi ambazo wanahitaji mbunge wao wa sasa awe na focus kwa asilimia mia. Vinginevyo again, una haki ya msingi ya kikatiba kuwania nafasi hiyo kama alivyokuwa raia mwingine yeyote, hivyo usione wengine watakaojitokeza kama maadui. Ni hayo tu machache hoping yatakusaidia japo kidogo katika kipindi hiki cha mikakati. Kila la kheri.

You must be a good advisor! I will consult as time comes around. Thanks
 
Iseee meku ukija kufanya kampen kwetu rombo uwakikishe unakuja na mbege,masharari,mtango,mtori mmeku mitakupigia kura mimi na keku yangu waishwa
 
Ni kweli kabisa selasini ameshindwa kuijenga CHADEMA katika wilaya ya rombo huwez ukajua kama linaongozwa na mbunge wa CHADEMA.BEN sasa ni muda wako wa kuchukua jimbo liko waz

majungu tu hayo,selasini bado ana nguvu pamoja mbinu zenu chafu za kutaka kumuua kwenye ajali
 
Acha porojo.Wazee wapi hao waliokufuata. Kbal ya yote jibu kwanza maswali Haya, what is your academic qualification?What are your development priorities, tel us in short your portfolio
 
Back
Top Bottom