Natangaza kugombea ubunge 2015 - ROMBO kwa tiketi ya CHADEMA

Mar 22, 2012
33
11
Natangaza rasmi 2015 nitagombea ubunge-Rombo kupitia CDM. Nimeamua kufanya hivyo baada ya kutafakari kwa mda mrefu maombi ya makundi mbalimbali ya jamii ya wana Rombo kugombea tangu mwaka 2005 na hivi juzi ujumbe wa wazee watatu wa Rombo walinifuata Kilindi-TANGA ninakofanya kazi wakinitaka nisiwaangushe 2015. Wadau nishaurini.
 
Mkuu huna utashi wa kuwa Mbunge naona kama hao wazee wanakulazimisha tu. Kama huna utashi basi mimi nakushauri usikubali kugombea utakuja kuishia kupigania posho bure badala ya kuwatumikia wananchi wako. Siasa ni wito kama wewe si fisadi.
 
ushauri wangu kama wa MKWELE."AKILI ZA KUAMBIWA,CHANGANYA NA ZAKO,HUSIWE KAMA MBAYUWAYU".
 
Natangaza rasmi 2015 nitagombea ubunge-Rombo kupitia CDM. Nimeamua kufanya hivyo baada ya kutafakari kwa mda mrefu maombi ya makundi mbalimbali ya jamii ya wana Rombo kugombea tangu mwaka 2005 na hivi juzi ujumbe wa wazee watatu wa Rombo walinifuata Kilindi-TANGA ninakofanya kazi wakinitaka nisiwaangushe 2015. Wadau nishaurini.
Selasini yamemshinda sio
 
Mkuu nina uhakika hakuna mzee wa Rombo aliyekufata. Kama unataka kugombea nakutakia kila jema ila nakushauri kuwa simamia utashi wako na sio mambo ya wazee watatu wasiokuwepo. Sitakupa kura kwa kuwa umetumwa na watu.
 
Kila la heri na baraka tele, kama wanarombo wamekuamini kiasi hicho mpaka kukutumia ujumbe mzito ili ugombee 2015 basi usiwaangushe.
 
Tupo wengi mzee tutakaogombea.Mimi nina mpango wa kugombea au kuunganisha nguvu na Ben,ila bado mapema tunatafakari.

Kila la kheri kamanda.
Muhimu ni kujipanga kufanya kampeni kwa njia ya ustaarabu ili atakayekuwa amepata ridhaa ya wanachadema wa rombo basi wengine waliobaki wamuunge mkono.

Mjitahidi sana kujiepusha na michezo michafu kama ya magamba.
 
Natangaza rasmi 2015 nitagombea ubunge-Rombo kupitia CDM. Nimeamua kufanya hivyo baada ya kutafakari kwa mda mrefu maombi ya makundi mbalimbali ya jamii ya wana Rombo kugombea tangu mwaka 2005 na hivi juzi ujumbe wa wazee watatu wa Rombo walinifuata Kilindi-TANGA ninakofanya kazi wakinitaka nisiwaangushe 2015. Wadau nishaurini.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...agharibi-ahamishia-majembe-mboz-masharik.html

usisubili 2015 kama upo serious ni kazi ya kudumu!
 
Mkuu huna utashi wa kuwa Mbunge naona kama hao wazee wanakulazimisha tu. Kama huna utashi basi mimi nakushauri usikubali kugombea utakuja kuishia kupigania posho bure badala ya kuwatumikia wananchi wako. Siasa ni wito kama wewe si fisadi.

Ndugu yangu sio nalazimishwa ila wananikubali kwa mambo ambayo nimeyafanya ya kijamii ndo maana 2005 nikiwa na umri wa miaka 22 walinishauri nigombee lkn nikawa bado nipo shule.
 
Mkuu nina uhakika hakuna mzee wa Rombo aliyekufata. Kama unataka kugombea nakutakia kila jema ila nakushauri kuwa simamia utashi wako na sio mambo ya wazee watatu wasiokuwepo. Sitakupa kura kwa kuwa umetumwa na watu.

mkuu wazee watatu sijifagilii,ila nikuambie tu kwamba mm ni muumini wa demokrasia pana. Kama CDM kitanipa ridhaa nitawatumikia kama la nitamsapoti alieteuliwa kwa manufaa ya wana Rombo na chama kuepusha mpasuko usiokuwa na maslahi.
 
Mkuu huna utashi wa kuwa Mbunge naona kama hao wazee wanakulazimisha tu. Kama huna utashi basi mimi nakushauri usikubali kugombea utakuja kuishia kupigania posho bure badala ya kuwatumikia wananchi wako. Siasa ni wito kama wewe si fisadi.

Ndugu yangu sio nalazimishwa ila wananikubali kwa mambo ambayo nimeyafanya ya kijamii ndo maana 2005 nikiwa na umri wa miaka 22 walinishauri nigombee lkn nikawa bado nipo shule.
 
nenda same wapare wale hata mwenyekiti wa ccm wamekodi toka marangu,mzee kessy,miaka 15,nadhani pale utapata ubunge na walivyomchoka matayo david cleopa msuya,,watakupa tu,,,,
 
Back
Top Bottom