Natangaza Baraza langu la JF

bora mme wangu Rejao umekuja kuwashushua wambea!ooh yupo ban sijui nn!
i love u darling!!:a s-heart-2:

we kweli Bishanga yuko mbioni kukuopoa! Siamini kama kweli hiyo i_love_u imetoka 'ze botom ofu ya hati' nyepesi nyepesi kiasi hicho? Umeshindwa hata kuweka bold? Nimekusaidia hapo ili mambo yasiwe makubwa kwa sharti la kuachana na mpango wa dubu!! Sawa..?? Haya sema sawa!!
 
Last edited by a moderator:

naona nimedandia treni njiani,mnaongelea nini?
 
Afadhali tena umekuja! inasemekana kuna mikakati ya siri baina yako wewe na Cantalisia,
-Kwamba, unataka kumpindua Rejao!
-Kwamba, wewe Bishanga BEPARI TAJIRI LA KIHA...!! na Cantalisia Mmeonekana ktk moja ya HOTEL yenye hadhi ya nyota 5 mkitumbua maraha ktk mapumziko ya WEEKEND
-Kwamba umefanikisha mipango ya kumteua Rejao Ubalozi nje ya Nchi ili upate muda wa...!! na Erickb52 akajifanya BODIGADI kumbe KIKULACHO KI...!
 
Hahahaaha SALOK we una lako....
Yan mimi nimelee Cantalisia ? HAAHAHAHAAAA acha majungu aisee lol
 
Last edited by a moderator:
we kweli Bishanga yuko mbioni kukuopoa! Siamini kama kweli hiyo i_love_u imetoka 'ze botom ofu ya hati' nyepesi nyepesi kiasi hicho? Umeshindwa hata kuweka bold? Nimekusaidia hapo ili mambo yasiwe makubwa kwa sharti la kuachana na mpango wa dubu!! Sawa..?? Haya sema sawa!!
Khaaaaaaa! SALOK,hata wewe swaiba unaungana na wanaitakia mabaya ndoa yangu na mme wangu Rejao!!!
Ama kweli hasidi hana sababu lol! Bishanga tayari alishahamia unga ltd hujui!!!
 
Last edited by a moderator:
Afadhali tena umekuja! inasemekana kuna mikakati ya siri baina yako wewe na Cantalisia,
-Kwamba, unataka kumpindua Rejao!
-Kwamba, wewe Bishanga BEPARI TAJIRI LA KIHA...!! na Cantalisia Mmeonekana ktk moja ya HOTEL yenye hadhi ya nyota 5 mkitumbua maraha ktk mapumziko ya WEEKEND
-Kwamba umefanikisha mipango ya kumteua Rejao Ubalozi nje ya Nchi ili upate muda wa...!! na Erickb52 akajifanya BODIGADI kumbe KIKULACHO KI...!
Khaaaaaa!
Nimeamini SALOK ni fundi na hodari wa kupika na kupakua majungu,
Huu ni uongo mtupu jaman,kwa mapenz niliyonayo kwa mme wangu mpnz Rejao kamwe siwezi kumtenda haya,
Nakanusha kwa nguvu zote na waliotuhumiwa hapo wote wamesingiziwa haya ukweli wowote lol!
 
Last edited by a moderator:
shem wangu Erickb52 hata mie nishaanza kuhisi kitu,huyu salok atakua na lake jambokm bodigadi kuwa naye makini anaweza akakuharibia kazi hasa!

ni kweli ninalangu jambo na wewe Cantalisia wajua! Nimekupigania hata ukawa waziri, nimemsambaratisha dubu na mipango yake,mmeshindwa kumshawishi prizdaa aniteue ubunge kisha anipe kaulaji huko juu bana? Khaa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom