Natamani. . . . . .

Natamani chaji kwenye BB yangu niende zangu jukwaa la siasa! Bahati mbaya umeme umekatika!
 
Natamani nanihiii...I mean nanihiiii, ngoja nitarudi bidae kidogo nikwambie ninachotamani usiku huu..
 
Natamani kesho inyeshe bonge la mvua, huku kwetu ni muda mrefu hatujapiga msele na mitumbwi kitaa
 
Back
Top Bottom