wiki iliyopita niliona report ya transparent international kuhusu rushwa nilihuzunika sana kuona Tanzania ina 28% ya rushwa, Kenya 32% na Rwanda 6.6% . Hivi raisi wetu amelogwa? mbona Tanzania kuna amani, uhuru tulipata toka 1961. Hivi Kikwete badala ya kwenda Ulaya kuzurura kwa nini asimwite Kagame aje mshauri jinsi ya kukabiliana na rushwa?????? jamani mimi roho inauma sijui kama kesho ntaamka.Kwa nini ripoti ya CAG haifanyiwi kazi, huyu ****** ana mpango gani na nchi hii???????