Natamani tarehe ya uzinduzi wa M4C iitwe Chadema Day na kuadhimishwa kila mwaka

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Wanabodi,kwa mawazo yangu binafsi naona ingekuwa vema na haki kwa viongozi Makamanda wa CDM kutafakari kwa umakini juu ya CDM DAY,siku ambayo nadhani iwe ni ile siku M4C ilipozinduliwa,achilia mbali siku ya kuanzishwa kwa chama.CREATIVITY BUILDS A STEP 4WARD
 
Well, kunaweza kuwa na hizo 'days' nyingi kadiri inavyowezekana lakini hakuna day iliyo kuu kama Sept. 15 siku ile ya "ORODHA YA AIBU".

Siku hii ilikuwa ndio mwanzo wa fikra mpya, mwanzo mpya, na uthubutu mpya. Kwa taifa lililotawaliwa kwa "mkono wa chuma" chini ya chama kimoja hakuna aliyewaza kwamba hayo yangewezekana.

Nasema tena, ziwepo 'days' nyingi lakin Sept. 15 should remain "the special one".
 
Back
Top Bottom