Natamani Nipate BAN!

Join Date : 2nd February 2011
Location : DUNIANI
Posts : 1,207

Rep Power : 23

Yaani umekuja hivi karibuni then unataka sepa for 10 years kweli dunia hada ulimwengu shujaa.

Toka nianze sijawahi pata BAN, nazisikia. Naomba ban, nataka nipumzike kama miaka kumi bila kuvisit jf ila nimeshindwa. Nisaidieni wana jf, nina kazi nying. Jf inanibana sana.

Watukane mods matusi ya nguoni uone kama hujala ban ya milele

Hawata mpa BAN watajua anataka kwa makusudi sema amtukane mamaaa 1st l...dy aone.

hebu niambie nimtukane vipi.

Similar Discussions

Back
Top Bottom