Nowadays kuwa mbunge wa chadema ni raha sana! Huku unapiga fedha za ubunge,huku unalipwa posho ya kuandamana vijiji vyote vya tanzania! Wakivimaliza hivi vijiji akina mnyika watakuwa matajiri sana,kwa siku si chini ya laki 2 kwa miaka 5,duh! Jamaa wanatumbua sana katika hii nchi maskini! Tuliowachagua wame2toselea mbali wenyewe wanatalii tu vijijini! Sijawahi kuona siasa ya kishamba namna hii duniani kote! Kwa staili hii ccm watatawala milele! Wabunge wachadema nawaonea wivu kwa maposho mawili mawili wanayoyapata!!POSHO ZA UBUNGE NA POSHO ZA KUZURURA NA PADIRI VIJIJINI