Natamani ningekua naishi Iringa

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Leo nimekuja Iringa, nime nunua vocha ya airtel na kuingiza mara msg 2 zikaingia. ya kwanza ni zawadi ya sms 100 na ya pili ni kifurushi cha mb 200. nikaanza kujiuliza inamaana hizi zawadi ni kwa watu wa Iringa pekee? yaani ni promo maalum? au ni zawadi za ramdhani? au ni zawadi za kila mwanzoni mwa mwezi? jibu sijapata. wana jamii naombeni jibu ili nifanye maamuzi kama ni Iringa au Dar. mana kwa mtindo huu maisha ni rahis coz no more cost of bundles ni kununua vocha na kuendelea kupruzi na kutwanga kwa kwenda mbele.
 
No comment,
wenzio wanakwambia hamia airtel,
sio hamia Iringa,
Anyway usisahau kutuletea kamnyama....
ENJOY YOUR STAY
 
Kwa baridi lililopo pale iringa kwakweli sina hamu!
Nilienda nikiwa white nimerudi nikiwa superblack!
 
Hakuna ubishi kwamba Iringa ni pazuri, lakini kuhamia huko kwa sababu ya promotion ya simu ni ujinga!?
 
  • Thanks
Reactions: tz1
soma masharti ya kutumia......ofa gani inayoanza saa sita usiku hadi saa 12 asubuhi..................
 
siunajua Iringa kulivyo na baridi, basi wanaufanyia promotion huo mkoa ili watu walau waupende.
 
soma masharti ya kutumia......ofa gani inayoanza saa sita usiku hadi saa 12 asubuhi..................
<br />
<br />

Hapo ndipo wananikera. Hadi sasa nime accumulate dakika za bure 100 lakini nashindwa kuzitumia maana huo muda wao mie nimelala na siwezi acha kulala kisa muda wa ofa.
 
Uhamie iringa kisa airtime,iyo kali.
Mbona kuna jamaa zangu wanasema toka vyuo vianze huo mkoa haushikiki kwa gharama za maisha!Ukianza na accomodation
 
Huu mkoa kwa aina ya baridi nadhani upandishwe hadhi uwe hifadhi ya taifa maana baridi la pale mufindi na makambako halipatikani duniani kote!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom