Natamani nikifa niiache CCM kwa viongozi kama Nape - Malecela

Sasa huyu mzee anaanza kudhihirisha kuwa uwezo wake wa kufikiri na maamuzi uko chini ya kiwango kama kweli kasema maneno hayo. Hajui kuwa kupitia viongozi waropokaji (wasiofikiri kabla ya kusema) na wanafiki kama Nape ndio ambao wanaweza kukipeleka kuzimu chama wanachokiongoza katika Dunia ya leo?
Style ya kuongoza ya miaka 1960/70s sio ya sasa nafikiri mama Anne anapaswa kumkumbusha hilo.
 
Lengo ni kuumaliza upinzani au kukisimamisha na kukiimarisha chama?????fafanua pliz&lt;br /&gt;<br /> &lt;br /&gt;
<br /> <br / lengo ni kuwa na uhakika kw ataiacha ccm kwenye mikono ya kichwa maji na ccm itakufa kifo cha mende, MZEE HAIPENDI CCM NI UILE BASI TU ANAONA AIB KUITOSA
 
CCM siipendi kwa kuwa inalea ufisadi,ila Nape,Sitta,Mwaliyembe,Membe,Mwandosya,Magufuri,Tibaijuka,Migiro,Sendeka na wengio walio against mafisadi katika CCM ni wazuri.Wanaweza wakaishikilia CCM kama chama cha upinzani baada ya Chadema kuchukua nchi 2015.
 
Hivi ninyi watu vipi,mtu siku mbili tatu akitema sukari basi anafaa. Hivi utatembea na mwongo usiwe mwongo.Kwa Nape kukubali kutumiwa na mafisadi wa CCM ameji-discredit kabisa.Inaelekea anafanana nao.Urafiki mbaya huharibu tabia njema.
CCM siipendi kwa kuwa inalea ufisadi,ila Nape,Sitta,Mwaliyembe,Membe,Mwandosya,Magufuri,Tibaijuka,Migiro,Sendeka na wengio walio against mafisadi katika CCM ni wazuri.Wanaweza wakaishikilia CCM kama chama cha upinzani baada ya Chadema kuchukua nchi 2015.
 
Uwezo wa mzee kufikiri umepungua sana. hivyo analazimika kutumia masaburi kufikiri.

Back
Top Bottom