Natamani Maisha kama haya Chuoni.

eti ataeshare boom lake na wewe! LOL!! Usituchekeshe na ndoto zako, we kapige shule...
 
Yaani wewe emeenda chuoni kutafuta mchuchu?
Na usipompata wa hivyo si utakula jeuri yako? Angalia usije ukadisco kichwa chini miguu juu.
da King'asti hawa ndio ambao wanajiuaga vyuoni kwa mambo ya mapenzi kama haamini amuulize Dr huvisa enzi akiwa dean of students pale mlimai miaka ile.

kijana natamani nyanga ndo ziwe patna wako zishee na wewe boom, na wala zisikufrustrate kwa kuwa na masharobaro wengine.
 
Last edited by a moderator:
-napenda niishi maisha ya kawaida chuoni.
-napenda nipate partner atakayeijua vema hali yangu.
-atakayekua tayari ku-share boom lake na mimi napokuwa nimesota.
-atakayekuwa hababaishwi na washkaji wenye pesa na masharobaro.
-atakayekuwa akitilia mkazo jambo zima la kupiga msuli na kuepuka supplimentary na ku-discontinue
-atakayekuwa yupo tayari muda wowote nitakapo mhitaji.
-the one who values the privilege of education that she got among thousands to whom in one way or another failed to make it.
-the one who will be ready anytime to remind me to get back on my normal life whenever i start to go the wrong way of living...i guess ukimpata demu kama huyu atakuwa catalyst yako nzuri ya maisha ya kimasomo chuoni.
So watchout my fellow first years...one mistake in life can make your life miserable!

gfsonwin kasema kweli bora wawanyime mikopo, mtakoma kutuzingua na foolish age zenu topics
 
siku hizi mapenzi yanaanzia primary, yanaendelea sekondari na chuo huwa ndio yanashika hatamu...
Wangemalizia na JKT ndio wangejitambua na hizo nyege maana huku kila Jukwaa wapo
Mods irudishe jukwaa la Elimu m wape Love connect yao vijana
 
-Napenda niishi maisha ya kawaida chuoni.
-napenda nipate partner atakayeijua vema hali yangu.
-Atakayekua tayari ku-share boom lake na mimi napokuwa nimesota.
-Atakayekuwa hababaishwi na washkaji wenye pesa na masharobaro.
-Atakayekuwa akitilia mkazo jambo zima la kupiga msuli na kuepuka supplimentary na ku-discontinue
-atakayekuwa yupo Tayari muda wowote nitakapo mhitaji.
-The one who values the Privilege of Education that she got among thousands to whom in one way or another failed to make it.
-The one who will be ready anytime to remind me to get back on my normal life whenever i start to go the wrong way of living...i guess ukimpata demu kama huyu atakuwa catalyst yako nzuri ya Maisha ya kimasomo chuoni.
So watchout my fellow first years...one mistake in life can make your life miserable!

Ndugu, muda wa masomo chuoni ni mfupi sana (3-5years) kwa hiyo unapaswa uutumie vizuri usije ukaishi kwa kujilaumu ukifika 50yrs.

Chuoni hauendi kutafuta patner, hauendi kutafuta mtu wa kushare naye boom, hauendi kuchunguza mitazamo ya watu kifedha, hauendi kutafuta mtu wa kushare naye hofu ya supp, disco na carry, hauendi kutafuta mtu wa kutimiziana naye haja, hauendi kutafuta mtu wa kuwa catalyst kwenye maisha yako.
Muundo wa vyuo vyetu vingi ni semester mbili, kila semester inakuwa na wiki 17, kama ndo umeenda chuo unatafuta demu unaweza ukashangaa wiki ya 6 imefika hujajiandaa vizuri kuna assignment, tests zinakuja, na kama zi kozi za ungwini bila kufikisha 40% ya coursework hiyo ni automatically carry. Chuo hakuna walimu kuna Instructors/Lecturers, unaweza kukuta kwenye mhadhara mmoja kuna wanafunzi mpaka 500 na hakuna muda wa mhadhiri kufuatilia kama umeelewa au la kama ilivyo high school. Vile vile inapaswa kwenye huo muda wa 6-8 weeks before the first test inachukuliwa umeshaelewa kilichohadhiriwa, hakuna mambo ya kusoma topic ya Form Five na kuisoma kwa ajili ya ACSEE.

Vile vile somo moja tu linaweza kukufanya uwe discontinued kulingana na utaratibu wa idara ya hilo somo kama utakuwa hujafikisha departmental gpa.

Muda wa chuo nakushauri kaa mbali na mambo ya mapenzi/ngono na kufuata mkumbo na stori za watu wengine, wewe ndiye unayejua kwenu mna hali gani, wewe ndiye unayejua una malengo gani maishani, wewe ndiye unayejua uwezo wako darasani. Kuna watu walishawahi kuingia chuo na div1 na wakashindwa kuingia 2nd year. Huendi chuo kuchukua digrii unaenda kutafuta digrii

Ukiwa chuo mbali na kukazania masomo inabidi ujiandae na maisha baada ya chuo, kwani kupata kazi/kujiajiri baada ya chuo si jambo rahisi. Usiwazie mtu wa kushare naye boom, fikiria jinsi ya kuwekeza hilo boom. Unaweza kujiunga kwenye vikundi vya kuweka na kukopa na kuwekeza fedha zako huko na ukifika mwaka wa mwisho chuoni unaweza uaanzisha biashara yako mwenyewe kwa hela ulizowekeza na utakazoweza kukopa. Au kama unatoka mkoani unaweza ukanunua shamba ukapanda miti ambayo baada ya 3-5 years utaweza kuivuna na kuweza kujiajiri.

Good luck!!!
 
Back
Top Bottom