Natamani Kuwa FATAKI!

naona wewe utaikwepa segerea lakini jehanamu inakuita
fanya hima utubu wewe na huyo mlokole unayemchakachua
kabla haijakuwa too leiti

Hawa hawafaidi kitu... sisi ma FATUKA ndo tuna faudu!

FATUKA = Hawa ni wanaume walio oa lakini wanadadavua mabinti wasioolewa walokole (wapendwa)!! below 25 above 20 years!
 
naona wewe utaikwepa segerea lakini jehanamu inakuita
fanya hima utubu wewe na huyo mlokole unayemchakachua
kabla haijakuwa too leiti
Nimekusoma baba! Nitakula sala ya toba baada ya kumkinai huyu mlokole!
 
mchungaji kabla hujawa fataki, jaribu kuwa mtaalam wa vicheche kwanza
 
dah! mzee wa kinyumenyume bana dah! haya ukiwataka wengi hamasisha watu waje kwenye kile kichumba cha kitubio.....nobody will suspect
 
usiumize...kichwa...ufataki...hauhitaji...application....form...jipange...tu...kifedha...mzazi.
 
Jamani nimeona hawa jamaa wanafaidi sana! Sijui hii fani ya ufataki inasomewa wapi nipeleke applications walau nitumiwe application form ili niweze peleka bodi ya mikopo.

Ushauri wapwaz

fataki190209.jpg
du fataki limefanana na Mganyizi
 
Jamani nimeona hawa jamaa wanafaidi sana! Sijui hii fani ya ufataki inasomewa wapi nipeleke applications walau nitumiwe application form ili niweze peleka bodi ya mikopo.

Ushauri wapwaz

fataki190209.jpg
Jamani kakaangu umekosa cha kutamani.
 
Back
Top Bottom