Natamani kurudi home

Nyumbani ni nyumbani tu hata kama ni kichakani. Mkuu rudi usiwe mtumwa da Husninyo ameshakuandalia makazi mpwapwa.
 
usitishike kiasi hicho mkuuu
ukiwa na mshiko wa maana
hakikisha una nyumba ya kuishi
chukua likizo rudi home kwa mwezi kwanza
angalia wapi waweza tulia na wapi pa afadhali kidogo..
ukisha fanya ka research chako basi fungasha....
yakikushinda rudi huko mjuuu..

Dada hapo umenena. Mkuu kama unataka kurudi ujipange na kama uko fresh ukifika ukiona life huku mchosho we geuza zako. Wengine tulijitia umbea wa kurudi tumekwama waya mkali maisha magumu kinoma. Hakuna hata kupiga boksi hapa mjini la kujishikiza. Nikipata tena upenyo sidhani kama nitageuka nyuma. I miss schedule zangu za kubeba boksi
 
Nyumbani ni nyumbani tu hata kama ni kichakani. Mkuu rudi usiwe mtumwa da Husninyo ameshakuandalia makazi mpwapwa.

poa mkuu,nafikiri nilikosea kununua kiwanja kinyerezi,bora ningenunua mko mwingine
 
Acha utani wewe nyumbani kwenu utaenda tu haijalishi pako namna gani. ina maana mgao usipoisha hutarudi??? sasa hivi ni mgao kuna uwezekano wa kuukosa kabisa huo umeme.
 
Naona una utani mzuri eti, unaogopa kurudi home, kwani sisi tuliyoko huku unatuona mafala au, nguo ya kuazima haisetiri maungo.
 
Acha utani wewe nyumbani kwenu utaenda tu haijalishi pako namna gani. ina maana mgao usipoisha hutarudi??? sasa hivi ni mgao kuna uwezekano wa kuukosa kabisa huo umeme.

kuukosa kabisa kivipi?naomba ufafanuzi mkuu,
 
Naona una utani mzuri eti, unaogopa kurudi home, kwani sisi tuliyoko huku unatuona mafala au, nguo ya kuazima haisetiri maungo.

wazee naomba nieleweke hamna utani hapa,nipo very serious,wasiwasi wangu ni kuja hapo halafu kurudi tena huku,
tumeona wengi wamejaribu kuja lakini wakarudi baada ya miezi michache wakiwa wamechoka
 
nina ile kitu kinaitwa home sick,nimechoka sana na maisha ya ugenini,lakini naogopa kurudi
home na kukwama,hasa nikisia mambo ya mgao wa umeme!!!lonely life not good.

Mcheza kwao hutunzwa, Nyumbani ni nyumbani........huo umeme ulizaliwa nao?
 
wazee naomba nieleweke hamna utani hapa,nipo very serious,wasiwasi wangu ni kuja hapo halafu kurudi tena huku,
tumeona wengi wamejaribu kuja lakini wakarudi baada ya miezi michache wakiwa wamechoka

Sababu zipi zinazowafanya waje na kugeuza .
ooh home sweet home
Rafiki maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga.
Rudi nyumbani ujipange
 
wazee naomba nieleweke hamna utani hapa,nipo very serious,wasiwasi wangu ni kuja hapo halafu kurudi tena huku,
tumeona wengi wamejaribu kuja lakini wakarudi baada ya miezi michache wakiwa wamechoka

Napata shida kukuelewa, ina maana umeshauza uraia wako, na ndugu/wazazi/jamaa zako wako wapi kwa sasa, ni mawazo yangu tu.
 
Thabo Mbeki

Fanya upembuzi yakinifu wa maamuzi yako ili ujue unataka nini haswa!!,
Nadhani huko uliko una mafanikio ndio maana bado uko huko ila jipange,
Fikiria ni kitu gani utakachokua unakifanya hapa ili uendelee kuishi kama unavyoishi,
Jiamini!!!! Mambo ya kufanya hapa yako mengi tu tena mazuri ya kukuongezea kipato,
Ndio maana kuna wa huko uliko wako hapa wanavuna mafanikio...............
Jikubali!!!! Ukifanya hivyo utaona kwamba unaweza kwa kuanzia chini kwenda juu,

Kama ulkua hujawekeza nyumbani anza kufanya hivyo kabla ya kurudi, Tafuta mtu mwaminifu kabisa anayeweza kukupa ukweli wa mambo yalivyo na wapi unaweza kuwekeza kwa mafanikio!
 
Bongo kwa sasa kuja likizo ni noma, hatuna umeme mwezi wa pili sasa na maji yanakatika sana, bora ule zako starehe huko uliko.

Kama vipi nenda vacation somewhere else ukatulize mawazo lakini sio tanzania, sikushauri aisee.
 
nina ile kitu kinaitwa home sick,nimechoka sana na maisha ya ugenini,lakini naogopa kurudi
home na kukwama,hasa nikisia mambo ya mgao wa umeme!!!lonely life not good.
EAST OR WEST HOME BEST. kimbia haraka, njoo nyumbani hata kama kuna mgao wa umeme, kibatari kipo, koroboi ipo. hata kama hakuna godoro utaridhika kwani hapo kitovu chako kipo. kwani wewe umeme ulianza kuutumia lini? au wewe ni mtoto wa.........????
 
Back
Top Bottom