Natamani kuona mazishi ya ccm kabla ya kufa kwangu

makaptula

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
200
66
Kile kiini macho anachokihubiri JK cha kujivua Gamba akiwataja mapacha watatu wakati yeye akijiweka pembeni, natamani nikione mapema kwani kujivua kwao kutaleta mpasuko mkubwa ambao haujawahi tokea ndani ya chama hicho hali ambayo inaweza kupelekea na yeye kujivua gamba bila kupenda na ndo mazishi ya CCM.
 
Hata mimi nasubiri kwa hamu kwenda kuaga mwili wa marehemu CCM maana kaburi tayari limeandaliwa. Wakati huo huo habari za kiintelijensia zinasema kuwa CCM ikifa haitaenda mahali pema peponi bali ni mahali pabaya kuliko sehemu zote mbaya huko kuzimuni.
 
Kile kiini macho anachokihubiri JK cha kujivua Gamba akiwataja mapacha watatu wakati yeye akijiweka pembeni, natamani nikione mapema kwani kujivua kwao kutaleta mpasuko mkubwa ambao haujawahi tokea ndani ya chama hicho hali ambayo inaweza kupelekea na yeye kujivua gamba bila kupenda na ndo mazishi ya CCM.
utakufa na kuzikwa wewe kwanza!!
 
CCM Haina miezi 6 kuanzia leo anaebisha mjeuri
Ilianza kwa kujivua Gamba na sasa inajikata Kichwa kuna nini tena hapo?
Wanaiba wote na wanataka kuilazia kwa wenzao aaahhhg!!imewakaaaaaaaaaaa....

Chadema goooooooooooooo.
 
Kusubiri kifo cha ccm kabla hujafa labda uishi milele. Ukiishi miaka kumi zaidi kuanzia sasa unaweza kushuhudia kifo cha cdm . Inaonekana huijui ccm vizuri pole
 
hahahahaha pole sana ndugu maana hujui ulisemalo kamalizie hme work

Tuliwaambia hivyo wenzako kabla ya tar 31, sasa hivi wamebaki kununa na mijitusi, usijikondeshe dogo na kutumiwa na makampuni ya watu, tena hata wenyewe hawana malengo na dola.
 
Hahahaha,ndg umesahau ya kuwa mchimba kisima huingia mwenyewe? ndg yangu inaonesha utaanza kufa ww na kuiacha CCM
 
Tuliwaambia hivyo wenzako kabla ya tar 31, sasa hivi wamebaki kununa na mijitusi, usijikondeshe dogo na kutumiwa na makampuni ya watu, tena hata wenyewe hawana malengo na dola.

Huwezi kua wa Mombasa wewe?yaani una una una una............sijakuelewa hapo kwenye blue.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom