Natamani kujiua

Asanteni kwa ushauri. Nitaufanyia kazi. Ila kumbukeni kuwa huyu mwanaume ni muislamu kwa hiyo nilijua fika kuwa atanioa. Na mara kwa mara alikuwa anaamia kwangu na kukaa hata siku mbili hivyo niliona kama hamna jinsi ya yeye kunitema. Nitajitahidi kumsahau.



Wewe acha ushamba na ujinga wako huko, tena ujue unatuchafua sana wanawake wenzio, kwani unadhani akiwa muislam ndo lazima aoe wake zaidi ya mmoja? Kubali ushatumiwa, basi nenda katubu kwa muumba wako kwa kumkosea mwenzio heshima na kutumia mali ya mwenzio tena kwa wizi. Then njoo utuambie umebadilika tukushauri nini ufanye ili umpate aliye wako.
 
Wazur walishakufa KIMADA hahahahah we wala huna uzuri wowote. We ulikuwa KIPOOZEO tu

Kafie mbali huko!!

Unajua nini Uda'a,
unaweza kuta mkeo nae ni kipozeo cha njemba nyingine lol...
haya mambo bana.......................
 
Asanteni kwa ushauri. Nitaufanyia kazi. Ila kumbukeni kuwa huyu mwanaume ni muislamu kwa hiyo nilijua fika kuwa atanioa. Na mara kwa mara alikuwa anaamia kwangu na kukaa hata siku mbili hivyo niliona kama hamna jinsi ya yeye kunitema. Nitajitahidi kumsahau.
KIMADA kumsahau itakuwa ngumu bora tuujifie zako kama unavyotaman. Maana usijekupata mwanaume mwingine siku akikuacha utataka kumuua yeye sasa...Wanaotaka kufa huwa hawasemi wanatenda tu fasta we mpka umekuja jf na kuandika gazet lote hilooo hahahahaha unalo!
 
Ukiwaona wale wauza sumu za panya na kunguni nunua halafu ukifika home chanaganya na juice kunywa. Haya matatizo ya kumlilia mume wamtu yatakwisha. Kila la kheri Kimada
 
Unajua nini Uda'a,unaweza kuta mkeo nae ni kipozeo cha njemba nyingine lol...haya mambo bana.......................
We bacha, mke tena??Bacha hujui mi ni mdada mwenye figure 8yaani ni mzur kweli hata huyu KIMADA hanifikii hahahahahahahahaha.Mi sifagilii hawa watu wanaiba waume Wa wenzao.
 
Habari zenu wana Jamii Forum. Mimi ni mgeni humu. Ila si mgeni ki hivyo nimekuwa natembelea bila kuwa member. Nimeamua kujiunga ili nipate kushauriwa kwani shida niliyonayo siwezi kushare na mtu ninaye mjua. Mimi ni mdada wa miaka 32. Ni mrembo sana yaani wale mnaoita 8 figure. Sijisifii ila hilo nimeona nilitamke ili muweze kuielewa vizuri mada yangu. Nilitokea kumpenda sana kijana mmoja na kuja kugundua baada ya miezi miwili kuwa ni mume wa mtu. Kaka ni muislamu hivyo havai pete na kwa kuwa ni kijana sikuweza kudhania kuwa ni mume wa mtu na kwa kweli ningejua nisinge mpa moyo wangu. Tatizo niligundua kuwa kaoa wakati nimeshampenda. Na ni yeye mwenyewe alinitamkia kuwa nina mke baada ya kujua sitaweza kumwacha kwani nilikuwa nimekolea. Tumekaa kwenye uhusiano kwa muda wa mwaka na nusu sasa mpaka pale mkewe alipokuja kugundua. Mimi mkewe nilikuwa nimeshamjua. Ni mdada msomi na ana kazi nzuri sana ila ni wa kawaida na aniingii hata nusu kwa uzuri kwa hiyo nilijua tu kuwa mumewe atakuwa ananipenda mimi zaidi na labda kuna siku nitakuwa mke wa pili kwani ni muislamu. Tatizo limeanza miezi miwili iliyopita. Jamaa alinipigia simu akanambia mkewe amejua kuwa tuna uhusiano, kwa hiyo mimi na yeye basi kwani hataki kuvunja ndoa yake. Nimeumia sana imagine mwaka na nusu na nimeshampenda sana. Nimejitahidi kumfuata ofisini kwao secretary wake ananambia jamaa kasafiri wakati gari naliona nje ya ofisi. Nimempigia simu simpati naona amebadili namba. Hivi kweli wanaume mnaweza kuwa wakatili hivi? Kibaya zaidi mkewe kutwa ananipigia simu na kunitisha kuwa atanifukuzisha kazi. Mimi sijali kufukuzwa kazi kwani ninampenda sana huyo mwanaume. Nishaurini nifanyeje kwa wale wenye uzoefu wa kuwa vimada na wale wenye nyumba ndogo. Msinitukane jamani. Mimi sijawahi maishani mwangu kutembea na mume wa mtu zaidi ya huyu na sikuwahi kuwaza kuwa yatanikuta. Hivi nyie wanawake wa kwenye ndoa uwa mnawaroga wame zenu? Iweje mtu niliyekuwa nampagawisha the other day leo aseme sitaki kukuona tena kisa tu mkewe kajua? Na huyu mkewe nimfanyeje aache kunifuata fuata. Maana amekuwa ananipa vitisho kila kukicha mpaka nahofia uhai wangu. Mumewe mwenyewe kesha niacha na yeye bado analeta mikwara wakati nikimwangalia hata ngumi moja namuua.
BADILISHA USERNAME MKUU....!unajiitaje KIMADA?
 
Ah it was bound to happen sooner or later, just be glad it happened now. Cha muhimu jipange upya na kuhusu huyo mkewe, yap- u may need to change your number for some few months. Ni kweli ulichemsha bila kujua but isikuvunje moyo. Amini there is a better someone waiting for you.
 
Achana na waume za watu wewe,huyo alikuwa anakuzuga tu akutafune,kashamaliza haja zate kakata kushoto.Tafuta wako wa kudumu.
 
We bacha, mke tena??Bacha hujui mi ni mdada mwenye figure 8yaani ni mzur kweli hata huyu KIMADA hanifikii hahahahahahahahaha.Mi sifagilii hawa watu wanaiba waume Wa wenzao.

usihofu Uda'a, najua kama wewe ni she,
lakini mie nilikuwa najiuliza tu hapa,
kuwa sijui mwanaume utajisikia vipi unapokuta mkeo,
nae ni kimada wa njemba nyingine!!!!!!lol...
 
Dearest wazuri walishakufa ungekuwa mzuri usingekuwa kwenye mawazo ya kujiua
uzuri wauona weye wengine hawajaona..............ondoa mawazo ulionayo kwanza ndio ujipange upya
 
yaaani mwanamke anaesema eti nimemtazama mkewe

haniingii hata nusu huwa namdharau mpaka basi

hivi huoni wenye sura na shepu za ukweli wakitafuta wanaume wa kuwaoa na hawapati??????????????????
 
Unatamani kujiua na Mkewe anakutishia kukuua, bora ujimalize kabisa, shame on u, ndoa zetu hazina furaha sababu ya nyie waiba waume za watu, ulijua umepata kumbe ulipatikana nyambafu we


Do!
kimada, Nyamayao na laussare can stone you to death!
 
usihofu Uda'a, najua kama wewe ni she,lakini mie nilikuwa najiuliza tu hapa,kuwa sijui mwanaume utajisikia vipi unapokuta mkeo,nae ni kimada wa njemba nyingine!!!!!!lol...
Ohh nimekusoma,Na hv wanaume roho nyepes km karatas..Lazima pachimbike...
 
aljunuuni funuuuni

kila mwendawazimu ana fani yake lol

The Boss, hiyo quote kali sana!..he he, sina la kuongeza!!

eti hanifikii hata nusu, utakuta libaya sura ka ng'ombe ila kwa nyuma tu ndiyo raha kumwangali kama ana hilo shepu 8.

jiue tu wengine wafurahie maisha..unapungua, wengine wanaongezeka!..
 
Kimada ni baadhi ya wale kina dada ambao wakisalimia dada habari huconclude kaambiwa dada we mzuri, akambiwa naomba date kwa mazungumzo zaid anatafsiri kaambiwa nakupenda, sasa akiambiwa nakupenda, yeye anaconclude kabisaaa kuwa kaambiwa nitakuoa!! We utafikiriaje kuwa kwa kuwa ni mwislamu anawezaoa wake wawili sijui, basi huyo wa pili ni wewe ???
 
Kimada ni baadhi ya wale kina dada ambao wakisalimia dada habari huconclude kaambiwa dada we mzuri, akambiwa naomba date kwa mazungumzo zaid anatafsiri kaambiwa nakupenda, sasa akiambiwa nakupenda, yeye anaconclude kabisaaa kuwa kaambiwa nitakuoa!! We utafikiriaje kuwa kwa kuwa ni mwislamu anawezaoa wake wawili sijui, basi huyo wa pili ni wewe ???

yote tisa mj01
kumi aliposema et mkewe wa kawaida sana haniingii hata nusu...
hivi aliambiwa na nani wa kawaida huwa wanaachwa akitokea namba nane????
ivi definition ya wa kawaida ikoje???????kadanganywa na nani huyu lol
 
Kimada ni baadhi ya wale kina dada ambao wakisalimia dada habari huconclude kaambiwa dada we mzuri, akambiwa naomba date kwa mazungumzo zaid anatafsiri kaambiwa nakupenda, sasa akiambiwa nakupenda, yeye anaconclude kabisaaa kuwa kaambiwa nitakuoa!! We utafikiriaje kuwa kwa kuwa ni mwislamu anawezaoa wake wawili sijui, basi huyo wa pili ni wewe ???


Mmmh!MJ1,
Bora leo umetoka na hii avatar, lol
ile nyingine nilikuwa naigwaya kweli,
lakini moyo ulikuwa mzito kusema!!!

Au kwakuwa KImada ana figure 8,
basi na wewe umeamua kutoka ki hivi......lol..
Congrats..................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom