Mtoa maada nadhani anaangalia upande moja tu, lakini nyerere alifanya mazuri sana kwa tanzania, unaposema heri ya mkoloni unakosea, tanganyika ilitoka kwa mkoloni baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia, tulikuwa chini ya msimamizi mwingereza ambaye hakufanya ujenzi wowote wa maana tanzania, mtazamo wake ulikuwa zaidi kenya ambako ndiko aliwekeza zaidi, alitoa malighafi tanganyika na kupeleka kenya. Wako watanganyika waligungu upuuzi huo wa waingereza na walipambambana kabla mauti hayajawakuta kwa hila hizo za wangereza, mfani ni mzee mtwa mkwawa, twajua aliuwawa na waingereza kule ukerewe. Muda mfupi babla ya tanganyika kuwa huru, yaani kuanzia miaka ya 1958 waajiriwa wengi kwenye mabenki walikuwa ni waafrika wenye asili ya asia, waliwa mikopo ya ujenzi na dhamani zikiwa hati za nyumba mbalimbali walizokuwa nazo hapo dar, miaka 1960 waliziiba zote kule benki, na ndiyo sababu ya kizitzifisha nyumba hizo kwa maslsahi ya taifa. Baada ya uhuru, mtazamo wa watanganyika ulikuwa baada ya nchi kuwa huru hawaitaji kinya kazi, maana waliami kuwa kazi utumwa, mwl alijitahiidi sana kuwabadilisha kwa ujumbe mbalimbali kama uhuru ni kazi, siasa ni kilimo n.k. Kuhusu kusaidi nchi za nje, hakuna asiye fahamu kuwa kila nchi ina sera za nje, mwl aliami kuwa bila nchi nyingine za africa kuwa huru tz haitakuwa huru, hakuna asiye jua uwepo wa wakoloni afrika ulikuwa nitishio kwa serikali zilizopo madarakani, yapo meemgi ya kueleza, fanya uafiti ndio uje na hoja
Eeemen! Eeeemen, Amina.WATANGANYIKA wengi walidanganywa na NYERERE,aliwaaminisha yakua amani ya nchi hile aliileta yeye, wakati hatukumbuki vita kabla ya kutawala yeye.
Na jengine ni hilo la ELIMU nchi nyingi kama sio zote duniani elimu ya premary ni bure sasa sijui lipi litufanye tumuone nyerere ni wakipekee.
Muungu amuongezee adhabu huko aliko(Amin)