Natamani kuifunga jela mifupa yake

The fact that unamwandikia marehemu insha ndeeefu na kutembea mikoani kumshambulia maiti mnaonesha jinsi mlivo WEAK, COWARDS & SPINELESS. alipokuwa hai mlikuwa wapi? lol
Mlivo wangapi, wewe vipi, mbona unaanza kuchanganyikiwa.

Haya basi kama unataka nimsifu Nyerere wako, basi nitamsifu. Mchonga alikuwa Kiongozi na tena Mtawala wa Watanzania.

Na tukamwita aambiliki, na ndio Sifa yake, Katika hili Nyerere alikuwa Kiongozi hasiye ambilika.
 
The only platform ya kumshambulia JK wa ukweli ni baada ya kifo chake maana mnajua angekuwa hai angewashinda kwa hoja kwa urahisi tuuu, maana he was more intelligent than y'all brainwashed fanatics combined.
Kwanza huyo Nyerere wako hakuwa na hata haya kutetea uongo ufanane na kweli. Alidai anawachukia makaburu, na hali alikuwa anajuwa kabisa, tulikuwa tunawauzia tumbaku, na wao wanatuuzia Land Rover, hata zile almasi za Mwadui wana hisa kubwa tu...!

Nje kwenye vyombo vya habari alijionyesha kama mpenda haki na mpigania uhuru, lakini kwa ndani alikuwa akifanya kinyume chake.

Nyerere ndani ya nafsi yake alijua kabisa kuwa yeye si mpigania haki, kwa sababu aliwanyima Watanzania haki ya kuyatoa mawazo yao.

Na kama ukubaliani na hoja zake uchwala, utaozea jela.
 
Mlivo wangapi, wewe vipi, mbona unaanza kuchanganyikiwa.

Haya basi kama unataka nimsifu Nyerere wako, basi nitamsifu. Mchonga alikuwa Kiongozi na tena Mtawala wa Watanzania.

Na tukamwita aambiliki, na ndio Sifa yake, Katika hili Nyerere alikuwa Kiongozi hasiye ambilika.

Kwani akina nani wameanzisha misamiati kama 'mfumo Kristo'? he he he..Utajibeba
 
Kwanza huyo Nyerere wako hakuwa na hata haya kutetea uongo ufanane na kweli. Alidai anawachukia makaburu, na hali alikuwa anajuwa kabisa, tulikuwa tunawauzia tumbaku, na wao wanatuuzia Land Rover, hata zile almasi za Mwadui wana hisa kubwa tu...!

Nje kwenye vyombo vya habari alijionyesha kama mpenda haki na mpigania uhuru, lakini kwa ndani alikuwa akifanya kinyume chake.

Nyerere ndani ya nafsi yake alijua kabisa kuwa yeye si mpigania haki, kwa sababu aliwanyima Watanzania haki ya kuyatoa mawazo yao.

Na kama ukubaliani na hoja zake uchwala, utaozea jela.

Hii ndio taathira ya kuugua utaahira. hivi ni wapi nimemsifia Nyerere? hoja yangu hapa ni dhahiri tu kwamba ni kipi kiliwazuia kuandika haya wakti yuko hai? nijibu hili tu basi.
 
Ni kweli inawezekana naugua utaahira, lakini nadhani utaahira wangu na wengine kama mimi unatusaidia.

Hivi unanifanya nicheke kidogo, kwa platform hipi umseme nyerere wakati wa ufalme wake, ujitaki. Au unataka kuwafanya watoto wako mayatima na mke wako awe mjane? Unacheza wewe...!
 
Mkuu.X-PASTER nakuunga mkono mia kwa mia. Mwenye wivu ajinyonge. Big up KAKA. Sema kweli japo kuwa inauma.
 
Ufalme wa Nyerere uliisha 1984-5..kuanzia hapo mlikuwa wapi? utaahira kweli ni ugonjwa mbaya.
 
Mkuu.X-PASTER nakuunga mkono mia kwa mia. Mwenye wivu ajinyonge. Big up KAKA. Sema kweli japo kuwa inauma.
Ukweli au majungu? Mtu ambaye anasubiri mtu afe ndio aje na insha kama hizi unaona anstahili pongezi yeyote achilia mbali utumbo wa tuhuma zisizo na kichwa wala miguu? au wewe ndio walewale hivo kwako kuona point ni VIGUMU MNO.
 
Sasa mimi na wewe nani taahira!

Rejea maneno yako haya:

Usikwepeshe bana, baada ya 1985 hadi 1999 MLIKUWA WAPI? ukishindwa kujibu hili basi utakuwa umeuthibitishia umma huu kuwa u are useless, spineless, coward and weak..wewe na watu wene mawazo kama yako.
 
Hawezi kujibu swali kama hili kwa sababu ni mnafiki.
 
Kwanza huyo Nyerere wako hakuwa na hata haya kutetea uongo ufanane na kweli. Alidai anawachukia makaburu, na hali alikuwa anajuwa kabisa, tulikuwa tunawauzia tumbaku, na wao wanatuuzia Land Rover, hata zile almasi za Mwadui wana hisa kubwa tu...!

Nje kwenye vyombo vya habari alijionyesha kama mpenda haki na mpigania uhuru, lakini kwa ndani alikuwa akifanya kinyume chake.

Nyerere ndani ya nafsi yake alijua kabisa kuwa yeye si mpigania haki, kwa sababu aliwanyima Watanzania haki ya kuyatoa mawazo yao.

Na kama ukubaliani na hoja zake uchwala, utaozea jela.

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/127917-nyerere-alitoa-wapi-uwezo-ule-2.html

Bro, hadi umeamua kuji-plagiarize mwenyewe waziwazi, nadhani hiyo ni ishara tosha umefikia upeo wa weledi wako. Nenda kalale tu bro. Ile offer ya Mkata Michongoma kwa Mwarabu vipi lakini? Mwarabu anasema zaidi ya kumwaga aya za Quran hapa na pale kwa Kiarabu, it'll be a big plus kama una ujuzi wa mapishi pia.
 
Usikwepeshe bana, baada ya 1985 hadi 1999 MLIKUWA WAPI? ukishindwa kujibu hili basi utakuwa umeuthibitishia umma huu kuwa u are useless, spineless, coward and weak..wewe na watu wene mawazo kama yako.
Mimi na wewe sasa nani taahira...!

Kama kawaida yako usomi kile wenzio wanacho kiandika.
 
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/127917-nyerere-alitoa-wapi-uwezo-ule-2.html

Bro, hadi umeamua kuji-plagiarize mwenyewe waziwazi, nadhani hiyo ni ishara tosha umefikia upeo wa weledi wako. Nenda kalale tu bro. Ile offer ya Mkata Michongoma kwa Mwarabu vipi lakini? Mwarabu anasema zaidi ya kumwaga aya za Quran hapa na pale kwa Kiarabu, it'll be a big plus kama una ujuzi wa mapishi pia.
Ah ah ah zote hizo fani zangu mkuu, umejuwaje?
 
Hilo swali gani tena? Mtu una akili kaa mbuzi halafu unauliza jibu? Lakini aloo! Naona sasa ghafla Mwarabu kapandisha dau tena, sasa anasema itabidi uwe na uwezo wa ku-act kama clown kwa utitiri wake aliozaa na wake zake wanne (4). Bado upo interested lakini? Kama vipi wee ni PM tu nikiunganishie kwa Mwarabu poa.
 
Hawezi kujibu swali kama hili kwa sababu ni mnafiki.

Huyu bwana sio mnafki, huyu ni kielelezo cha wale akina yakhe na zile imani zao wanazodanganyana huko kwene mihadhara yao ya 'kuongeza imani' (lolz)..sasa somo kule linaeza kuonekana kali ila likija hapa JF inakuwa kituko kweikwei..Ndio hapo sasa anakuja na thread kwamba anatamani kuifunga mifupa ya Nyerere, lakini akiulizwa mbona mlipokuwa na fursa walau ya kumwambia to his face mboni mlinywea? haezi kujibu labda aende tena kupata somo upya kutoka kwa shehe ubwabwa alidarasisha 'somo'
 
Hilo swali gani tena? Mtu una akili kaa mbuzi halafu unauliza jibu? Lakini aloo! Naona sasa ghafla Mwarabu kapandisha dau tena, sasa anasema itabidi uwe na uwezo wa ku-act kama clown kwa utitiri wake aliozaa na wake zake wanne (4). Bado upo interested lakini? Kama vipi wee ni PM tu nikiunganishie kwa Mwarabu poa.
Inaonekana wewe na huyo mwarabu wako mnaelewana na mnashirikia vema.
 
Huyu bwana sio mnafki, ni zile imani zao wanazodanganyana huko kwene mihadhara yao ya 'kuongeza imani' (lolz)..sasa somo kule linaeza kuonekana kali ila likija hapa JF inakuwa kituko kweikwei..Ndio hapo sasa anakuja na thread kwamba anatamani kuifunga mifupa ya Nyerere, lakini akiulizwa mbona mlipokuwa na fursa walau ya kumwambia to his face mboni mlinywea? makubwa haya!
Ooh! Mihadhara ya kuongeza imani sio! Kaaazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom