Natamani kufuturu na mmu member

Kuna daraja limakatika pale mpakani mwa rukwa na mbozi sasa nafikiri wanasubiri litengenezwe ndo wavuke so kama unaweza wahi pale utaipata
Ukisikia fitna ndio hizi mimi jezi yangu ya njano unaanza kuniwekea rangi nyekundu
 
we subiri mkesha wa xmas....huwa napenda kualika marafiki zangu kwenye mikesha.....au unaonaje?....

Xmass nitakuwa nishakuwa mweusi maana hili giza la mgao linanifanya nitumie kibatari kila siku na kila siku nazidi kuongeza weusi kwenye mwili

Ikifikia hiyo siku sitaonekana kabisa
 
<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/hail.gif" border="0" alt="" title="Hail" smilieid="194" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/hail.gif" border="0" alt="" title="Hail" smilieid="194" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/hail.gif" border="0" alt="" title="Hail" smilieid="194" class="inlineimg" />
utakuja tukeshe?.....
 
kabla ya kukubali ngoja nisome mstari kwenye biblia halafu nitafakari nitakupa jibu tarehe 23 december iweke kwenye diary yako kabisa
daah hadi preta unamtosa itabidi tukufungishe ndoa ya mkeka maana utatuzeekea humu ndani bila wajukuu sasa
 
Back
Top Bottom