Natamani kuacha hii tabia lakin nashindwa naomba ushauri doctor

https://www.jamiiforums.com/love-connect/196166-anatafuta-mchumba-wa-kike.html#post2873265

Kuna kaka anatafuta mchumba wa kike jaman umri kuanzia 30-35 umri wake ni miaka 45 naiman kuubwa humu jf atapata. Hakuna utani hapa namba yake. 0753655444.

https://www.jamiiforums.com/nafasi-...rum-ilinipatia-kazi-na-huyu-naye-anataka.html
Anatafuta kaz ni mdada ana miaka 22 namba ya cm hii. 0758991110.

WEWE NI DALALI? Huyo dume unayemtafutia mchumba si wewe uwe mchumba wake.
 
Pole sana na tatizo hili ila nimefurahi kusikia kuwa unatafuta msaada ili uachane na tabia hiyo mbaya sana.

Ni muhimu sana kufahamu kuwa usagaji ni dhambi, na dhambi ni utumwa (Yoh. 8: 34 - [FONT=Lucida Sans Unicode, MS Arial Unicode, Comic Sans MS, Verdana, Arial, Helvetica]kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi). Wewe mwenyewe kwa kuwa ni mtumwa huwezi ukajitoa kwenye utumwa huo. Ni Yesu Kristo pekee mwenye uwezo wa kukutoa katika utumwa wa dhambi zote (Yoh. 8: 36 - ... basi mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli).

Unachotakiwa kufanya sasa kutubu dhambi zako zote ikiwa ni pamoja na usagaji kwa kumaanisha kuziacha kabisa, sio uache usagaji uanze uasherati na uzinzi na wanaume, hapana (Mithali 28: 13 - Afichaye dhambi zake hatafanikiwa bali aziungamaye na kuziacha atapata rehema). Kisha mwambie Bwana Yesu akuwezeshe kuzishinda dhambi hizo, yeye ni mwema na mwaminifu sana atafanya. Mfano wa sala ya toba ni huu hapa:

"Mungu wangu, nakuja mbele, najua kuwa mimi ni mwenye dhambi. Natubu zangu zote kwa kumaanisha kuziacha kabisa. Sitaki dhambi kuanzia leo. Naomba unisamehe. Naomba ulifute jina langu kwenye kitabu cha hukumu na uliandike kwenye kitabu cha uzima. Naomba unipe uwezo wa kushinda dhambi ya usagaji na dhambi nyingine zote ili niishi maisha yanayokupendeza wewe kuanzia leo. Asante Bwana kwa kuwa umenisamehe na kuniokoa, katika jina la Yesu, Amen".

Ukisali sala kama hii kwa kumaanisha utaokoka na kupewa uwezo wa Kushinda usagaji na dhambi zote (Yoh. 1:12 - Bali wote waliompokea aliwapa uwezo kwa kufanyika watoto wa Mungu ...".

Kisha tafuta kanisa wanalohubiri wokovu na uwezo wa kushinda dhambi, epukana na mahali ambapo dhambi haikemewi kwa wazi wazi na wasioamini habari ya uwezo wa kushinda dhambi. Kumbuka Zab. 16: 3 -
[/FONT]
Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora,Hao ndio niliopendezwa nao. Mungu anapendezwa na watakatifu walioko duniani.

Kwa ushauri zaidi unaweza kuni-pm
 
Kwanza nikupongeze kwa kuwa umeamua kuachana na hiyo tabia.
Sijui wewe huwaunafnya vp lakini kama kuna zana ambazo huwa unzazitumia kwa mfano vibrator au dildo kwanza zitupe au zichome moto, na baada ya hapo uanze kuondokana na kuyapuuza mawazo yanapokujia na kutamani mwanamke mwenzio, ukiona hali hiyo inakuja just ipuuze tu afu pia tafuta kazi ya kufanya kama mazoezi na kuepuka sehemu zile ulizokuwa umezizoea ikiwemo kuhudhuria vipindi vya dini, kwaya za dini. Na vitu kama hivyo. Don't allow your mind to stay idol coz hiyo tabia utaiendekeza, na mwisho sali sana kama walivyosema wadau.
Ukifanya hivyi utakuwa tayari umekusudia kuachana na hii dhambi na mwisho nenda kaungame sasa na kumaliza malipizi.
All the best.
 
Nakupongeza sana, tena sana! Mpaka kufikia hatua hii umepipiga hatua moja kubwa sana kuelekea mafanikio. Pamoja na kuteketeza vitu vyote vinavyokutia katika kishawishi, mtafute mtaalamu wa akili (psychologist) akupe ushauri na mbinu alizo nazo.
Ikiwa kumpata mtaalamu ni vigumu kutokana na mazingira au uchumi, mfuate kiongozi wa dini (padre au mchungaji) unayemwamini, atakupa mafunzo (personal coaching) kupitia semina n.k. Yafaa kujisemea maneno kama haya mara kwa mara ili kuendelea kupata nguvu "KILA KITU KINAWEZEKANA, HATA KUACHA HII DHAMMBI INAWEZEKANA, NITAJITAHIDI KUACHA HARAKA IWEZEKANAVYO, EE MUNGU WANGU NISAIDIE". Nakutakia mafanikio, usisahau kuleta mwitikio (feedback). Mungu awe nawe....
 
Nawashukuru sana gfsonwin, len wilguy pamoja na wna jf wote mliotumia muda wenu kunipa ushauri ahsanten mungu azdi kuwazidishia hekima. Japo wengine wanafanya utani. Jaman ckupenda kufanya tabia hzi lakin nilijikuta katika maisha haya ambayo mwanzon niliona ni sawa na niliyafurahia lakin sasa imeniletea shida kubwa ktk maisha yangu kwan watu wakaribu yangu ikiwemo familia wananisema hata akija mgeni wa kike nyumban hawaniruhusu hatakuongea nikiwa nimekaa naye peke yangu. Inaniumiza sana.
 
Mpaka hapo Mungu atakupa msaada wa kutoka fanyia kazi ushauri uliopewa na wadau,utavuka.si hali ya kawaida mwanadada kuwatamani wadada wenzake au mwanaume kwa wanaume wenzake,huyo ni ibilisi ila utashinda.Zingatia ushauri wa gfsonwin na umaanishe utavuka.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana na tatizo hili ila nimefurahi kusikia kuwa unatafuta msaada ili uachane na tabia hiyo mbaya sana.

Ni muhimu sana kufahamu kuwa usagaji ni dhambi, na dhambi ni utumwa (Yoh. 8: 34 - [FONT=Lucida Sans Unicode, MS Arial Unicode, Comic Sans MS, Verdana, Arial, Helvetica]kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi). Wewe mwenyewe kwa kuwa ni mtumwa huwezi ukajitoa kwenye utumwa huo. Ni Yesu Kristo pekee mwenye uwezo wa kukutoa katika utumwa wa dhambi zote (Yoh. 8: 36 - ... basi mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli).

Unachotakiwa kufanya sasa kutubu dhambi zako zote ikiwa ni pamoja na usagaji kwa kumaanisha kuziacha kabisa, sio uache usagaji uanze uasherati na uzinzi na wanaume, hapana (Mithali 28: 13 - Afichaye dhambi zake hatafanikiwa bali aziungamaye na kuziacha atapata rehema). Kisha mwambie Bwana Yesu akuwezeshe kuzishinda dhambi hizo, yeye ni mwema na mwaminifu sana atafanya. Mfano wa sala ya toba ni huu hapa:

"Mungu wangu, nakuja mbele, najua kuwa mimi ni mwenye dhambi. Natubu zangu zote kwa kumaanisha kuziacha kabisa. Sitaki dhambi kuanzia leo. Naomba unisamehe. Naomba ulifute jina langu kwenye kitabu cha hukumu na uliandike kwenye kitabu cha uzima. Naomba unipe uwezo wa kushinda dhambi ya usagaji na dhambi nyingine zote ili niishi maisha yanayokupendeza wewe kuanzia leo. Asante Bwana kwa kuwa umenisamehe na kuniokoa, katika jina la Yesu, Amen".

Ukisali sala kama hii kwa kumaanisha utaokoka na kupewa uwezo wa Kushinda usagaji na dhambi zote (Yoh. 1:12 - Bali wote waliompokea aliwapa uwezo kwa kufanyika watoto wa Mungu ...".

Kisha tafuta kanisa wanalohubiri wokovu na uwezo wa kushinda dhambi, epukana na mahali ambapo dhambi haikemewi kwa wazi wazi na wasioamini habari ya uwezo wa kushinda dhambi. Kumbuka Zab. 16: 3 -
[/FONT]
Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora,Hao ndio niliopendezwa nao. Mungu anapendezwa na watakatifu walioko duniani.

Kwa ushauri zaidi unaweza kuni-pm

haahaa! Umeamua kummwagia na aya za kutosha kabisaa.!
AkikuPm ndio utampa mambo yote au vp?
Aachane na tabia yake ya ''Umilling Machine'' mbona mishibobo ipo kibao tu mpaka inakosa mashimo ya kuingia?
Aache tabia za kisodomu hizo
 
Pole sana....sali sana na muombe Mungu akusaidie ili uachane na tabia hii.

Sasa hapa kisali inahusiana nn mbona unachanganya mambo,ama ndo nyie kwamba kila kitu mipango ya mungu?.kwa hiyo hata hiyo tabia/hali y ulesbian n mungu kapanga ?.Nachukia sana mawazo butu

By...Free ideas..
 
We vipi weye!!!! Hivi mtu ukiwa na kitu kwenye maisha yako ambacho unakiona hakiko sawa kuna ubaya gani kumuomba Mungu akusaidie uachane nacho!? Walevi, wavuta sigara n.k. humuomba Mungu kuachana na addictions zao sasa huyu kumuomba Mungu kuna tatizo lipi!?Dah!!!!

Sasa hapa kisali inahusiana nn mbona unachanganya mambo,ama ndo nyie kwamba kila kitu mipango ya mungu?.kwa hiyo hata hiyo tabia/hali y ulesbian n mungu kapanga ?.Nachukia sana mawazo butu

By...Free ideas..
 
Nimekuwa nafanya mapenz na wanawake wenzanga huu ni mwaka wa nne mwanzon niliona ni sawa ila sasa naichukia najitahid kuacha lakn nimeshindwa imefikia hatua nataman hata kufanya na dada yangu wa kuzaliwa naye. Kila nikiona wanawake wenzngu nataman kufanya nao. Sitaman mwanaume kabisa naona hawana maana kwangu kbisa tena huwa naona wananisumbua naumia nataka kuacha hii tabia nifanyeje nisaidien nataman kuwa kama wadada wenzangu.Nakushauri ujikatili mwenyewe,namaanisha ujilazimishe kutoa mbunye kwa wanaume mara kwa mara ili ujizoeze

Umeona huo ndio ushauri wa maana!!!!! Maalun mkubwa we.
 
Pole sana na tatizo hili ila nimefurahi kusikia kuwa unatafuta msaada ili uachane na tabia hiyo mbaya sana.

Ni muhimu sana kufahamu kuwa usagaji ni dhambi, na dhambi ni utumwa (Yoh. 8: 34 - [FONT=Lucida Sans Unicode, MS Arial Unicode, Comic Sans MS, Verdana, Arial, Helvetica]kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi). Wewe mwenyewe kwa kuwa ni mtumwa huwezi ukajitoa kwenye utumwa huo. Ni Yesu Kristo pekee mwenye uwezo wa kukutoa katika utumwa wa dhambi zote (Yoh. 8: 36 - ... basi mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli).

Unachotakiwa kufanya sasa kutubu dhambi zako zote ikiwa ni pamoja na usagaji kwa kumaanisha kuziacha kabisa, sio uache usagaji uanze uasherati na uzinzi na wanaume, hapana (Mithali 28: 13 - Afichaye dhambi zake hatafanikiwa bali aziungamaye na kuziacha atapata rehema). Kisha mwambie Bwana Yesu akuwezeshe kuzishinda dhambi hizo, yeye ni mwema na mwaminifu sana atafanya. Mfano wa sala ya toba ni huu hapa:

"Mungu wangu, nakuja mbele, najua kuwa mimi ni mwenye dhambi. Natubu zangu zote kwa kumaanisha kuziacha kabisa. Sitaki dhambi kuanzia leo. Naomba unisamehe. Naomba ulifute jina langu kwenye kitabu cha hukumu na uliandike kwenye kitabu cha uzima. Naomba unipe uwezo wa kushinda dhambi ya usagaji na dhambi nyingine zote ili niishi maisha yanayokupendeza wewe kuanzia leo. Asante Bwana kwa kuwa umenisamehe na kuniokoa, katika jina la Yesu, Amen".

Ukisali sala kama hii kwa kumaanisha utaokoka na kupewa uwezo wa Kushinda usagaji na dhambi zote (Yoh. 1:12 - Bali wote waliompokea aliwapa uwezo kwa kufanyika watoto wa Mungu ...".

Kisha tafuta kanisa wanalohubiri wokovu na uwezo wa kushinda dhambi, epukana na mahali ambapo dhambi haikemewi kwa wazi wazi na wasioamini habari ya uwezo wa kushinda dhambi. Kumbuka Zab. 16: 3 -
[/FONT]
Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora,Hao ndio niliopendezwa nao. Mungu anapendezwa na watakatifu walioko duniani.

Kwa ushauri zaidi unaweza kuni-pm

saf sn op ameelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom