Natamani kua na serikari yetu hapa jf

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
819
1,320
Napenda kuchukua nafasi kwanza kuipongeza jf kwa kazi nzito inayofanya,kweli mmetupeleka hatua 100000......... mbele sasa watanzania wengi wanaifahamu na kufuatilia mambo mengi kupitia hapa,nina wazo moja la kiubunifu ili jf iendelee kua msaada kwa Taifa hilikatika nyanja zote,iundwe virtual government ambayo haitaingilia majukumu ya serikali ya Tanzania lakini itatumika hasa zaidi kufikisha mtandaoni matatizo ya wananchi na kukumbusha wajibu wa wananchi katika kujiletea maendeleo wao wenyewe!!!! Mnalionaje hili wana JF?????????????????
 
Ni namna moja wapo ya kujiliwaza..

enhe! tuendelee mkuu mirindimo...kwahiyo ..........................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom