Natamani JK awe Rais wa Maisha

pumbatupu

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
256
82
Unaweza ukacheka Lakini hivo ndivyo Mimi ninavyotamani..
Kwanza natamani abadilishe katiba ili awe Rais wa Miasha wa Tanzania; Kwangu mimi hili itaisaidia nchi hii mambo yafuatayo;

1. Makundi ya Mafisadi pamoja na Makuwadi wao yanayojipanga kuwania Urais wa mwaka 2015 yatakufa kifo cha Ghafla hivyo kukiimarisha chama chetu 'kipenzi' cha Magamba hivyo ndoto za CCJ & Co pamoja na EL & Co. zitakuwa zimeyeyuka kama barafu juani.

2. Mdogo wangu Ritz1 wangu hatakuwa na tamaa ya kujitajirisha kwa sababu atakuwa na uhakika wa kuishi Ikulu kwa muda mrefu sana. Hivyo fedha anazotumbua zitapelekwa kijijini kwetu kwenda kujengea shule.

3. Hii itasaidia Chama cha Magwanda kujiimarisha bungeni kwa sbb hawatakuwa na muda wa kuuwaza Urais na badala yake watagombea ubunge na nina imani watapata viti vingi make huku wameonyesha kupamudu.

4. Hii itatusaidia wadanganyika samahani Watanzania kuokoa fedha nyingi pamoja na muda kwenye kampeni za Urais wa kila mara ambao matokeo yake huwa tayari yameshapikwa na ile tume ya Kiravu na yule Jaji..

5. Kwa sbb Rais wetu alikuwa na 'slogan' Inayoanzia na Kasi kwa kuhofia muda mchache wa kukaa madarakani,Anaweza kuamua Kufanya mambo kwa u'taratibu zaidi kwa vile muda utakuwa tele.

JK!! Hebu Fanya Hivi Kwa Fiada Ya Taifa Hili..
 
hahahahahahahah ah man una fikra kali, yaani unatafuta cheap solution.ila nakukubali mkuu hizo level za shaby robert
 
Mkimpitisha Membe au yule mfipa wa Askof Pengo mjue Salma Jakaya ndo Rais na Ridhwan ndo PM. Baba Riz atakuwa ndo Nyerere mpya
 
Back
Top Bottom