Natamani ingekuwa ni tz

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,545
550
Naangalia live jinsi wamisri walivyo na furaha kwa kuweza kuleta mapinduzi. watasheherekea hadi asubuhi. nilivyochoshwa natamani ingekuwa imetokea TZ. Naamini nitaishi kuona siku ccm inangolewa. Sijui ni uwanja gani unatosha kuwaweka watu wetu wote washeherekee
 
Wenzako walianza kwa kujilipua na petroli ndipo haya yanayojiri sasa! jee, uko tayari mwenzetu kujilipua ili tufaidi matunda ya nchi hii pamoja na vizazi vijavyo? au unategemea mapinduzi baridi bila kutoka jasho na damu?
Usione vyaelea......vimeundwa!!!!!!
 
ngoja hawa vijana wa vyuo vhkuu waje mtaan kuwaelimisha babu,bibi,mama,baba na vijana ambao walinyimwa haki ya elimu na ccm ili wasijue haki zao. acha bei ya vitu iwe juu,ukosefu wa ajira,hali ngumu ya maisha na tofaut iwe kubwa kat ya tajiri na maskini kama hayajazuka ya misri na tunisia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom