Natamani Dar es Salaam ingekuwa namna hii

MUD

Member
Dec 28, 2010
7
0
Wana jamii ni ukweli usiopingika mwezi wa kumi na mbili mwishoni Dar es salaam foleni huwa zinatoweka kabisa,je ingekuwa namna hii the whole year si wananchi wangepiga hatua kubwa za kimaendeleo kuliko kupoteza a lot of time kwenye foleni?
 
Nani aende Bush,

Tutabanana hapa hapa. Hatoki mtu.

Kilimo Kwanza TBC na ktk majukwaa!

Haendi MTU Bush, Mnataka nisiangalie Taifa Stars
 
Watu wengi hupenda kujipumzisha mikoani kama mwanza,tanga,songea,iringa,mbeya kuna hali nzuri ya hewa
 
Wana jamii ni ukweli usiopingika mwezi wa kumi na mbili mwishoni Dar es salaam foleni huwa zinatoweka kabisa,je ingekuwa namna hii the whole year si wananchi wangepiga hatua kubwa za kimaendeleo kuliko kupoteza a lot of time kwenye foleni?

Ooooh pole sana ndugu yangu! Hii inaonyesha kwa kiwango gani foleni ni Kero hapo Dar es Salaam.

Back
Top Bottom