Natamani CCM ishinde kesi Dhidi ya Lema (MB) Arusha

kama itatokea Lema akashindwa uchaguzi na akazuiwa kugombea, natamani CDM imweke mgombea anayekubali na mwenye ari ya kweli ya maendeleo lazima atashinda

Kwa hiyo unataka kusema Lema akubaliki Arusha?
 
Bora uchaguzi urudiwe mpate kiongozi makini kutoka chama makini, ccm sio huyo muhuni wenu anayehamasisha vurugu kila siku.
 
Wasiwasi wangu ni kwenye kampeni je CCM watachinja chinja kama walivyo fanya kule Igunga...lakini kwenye masanduku Chadema itashinda zaidi ya ya mwaka jana...

Mkubwa! Hapo ndiyo Watanzania wataamini Ukombozi utaanzia hapa mchana kweupe.
 
Kwa hali inavyoendelea na kwa njama mbali mbali zinazopangwa,nadhani umefika wakati ukombozi upatikane,hata kama kwa kuzichapa,maana hawa watu jimbo la Arusha limewauma sana kila kukicha wanapanga namna ya kulirudisha mikononi mwa CCM.lakini kwa hali ya dhuruma na uonevu huu unaofanywa basi hata mkuu unayoyaombea ni swa yatokee japo uchaguzi ni gharama lakini kwa kuwa tutazichapa basi inaweza kuleta heshima,maana najua wana AR hawatishiwi nyau.
 
Bramo unadhani CCM ikishinda kesi dhidi ya Lema ndiyo utaacha kuwa gamba na mpumbavu? Mie natamani Mungu akufungue macho uondokane na upumbavu unaokufanya utumie masaburi kufikiri badala ya kichwa. Hakika mama na baba yako walikula hasara kuzaa **** kama wewe. May you perish. Kwa vile wewe ni gamba hata ukiungua si tatizo. Nenda mwana kwenda.
 
Wasiwasi wangu ni kwenye kampeni je CCM watachinja chinja kama walivyo fanya kule Igunga...lakini kwenye masanduku Chadema itashinda zaidi ya ya mwaka jana...
jukumu lililobaki crashwise ni letu sote kutoa elimu ya jinsi ya kudeal na Green Guards hawa ndio adui wa usalama wa jiji letu..niwajuavyo vijana wa arusha huwezi mteka mwenzao hadharani kama ilivyokuwa ikifanyika Igunga na wao wakabaki wakikutizama,.nakumbuka mwaka jana Greenguards walichofanywa maeneo ya fire walipokuwa wakisuka mbinu chafu. now elimu inayohitajika ni namna ya kudeal nao kwani sasa watakuja na mbinu ya kuvizia kwa kuwajua watu wa arusha hawachukuliki kirahisi
 
Mimi natamani haki itendeke Arusha na ionekane kuwa imetendeka. Kama Lema atashinda basi ashinde kwa haki na kama CCM watashinda basi washinde kwa haki na kila mtu aone kuwa haki imetendeka. Baada ya hapo sina wasiwasi na mchakato wa uchaguzi kwani wananchi watamchagua mwakilishi wanayeamini kuwa atasimamia maslahi yao. Ili mradi tu uchaguzi nao uwe wa huru na HAKI.
 
jukumu lililobaki crashwise ni letu sote kutoa elimu ya jinsi ya kudeal na Green Guards hawa ndio adui wa usalama wa jiji letu..niwajuavyo vijana wa arusha huwezi mteka mwenzao hadharani kama ilivyokuwa ikifanyika Igunga na wao wakabaki wakikutizama,.nakumbuka mwaka jana Greenguards walichofanywa maeneo ya fire walipokuwa wakisuka mbinu chafu. now elimu inayohitajika ni namna ya kudeal nao kwani sasa watakuja na mbinu ya kuvizia kwa kuwajua watu wa arusha hawachukuliki kirahisi

Wala usihangaike na green guard. Wewe shughulika na kuhamasisha vijana wajiandikishe kwa wingi na kisha wajitokeze kwa wingi wao kupiga kura siku ya uchaguzi. Baada ya hapo wahamasishe kulinda kura zao ili zisichakachuliwe. Green Guard hawawezi kuingia kwenye nyoyo za watu kuwabadilisha wasimchague mtu wanayemtaka. Na pia kama mshindi atachaguliwa kwa kura nyingi kuliko mpinzani wake hawatakuwa na jinsi ya kubadilisha matokeo.
 
Bramo unadhani CCM ikishinda kesi dhidi ya Lema ndiyo utaacha kuwa gamba na mpumbavu? Mie natamani Mungu akufungue macho uondokane na upumbavu unaokufanya utumie masaburi kufikiri badala ya kichwa. Hakika mama na baba yako walikula hasara kuzaa **** kama wewe. May you perish. Kwa vile wewe ni gamba hata ukiungua si tatizo. Nenda mwana kwenda.

ndugu yangu Mpayukaji, tuliza munkari na uache kutumia lugha chafu kujibu hoja. Bramo ana haki ya kushabikia chama chochote anachoona kinamfaa hata kama chama hicho wewe hukubaliani nacho. Hii ndiyo demokrasia tunayoililia na kuitafuta. Imefika wakati wana JF kujenga utamaduni wa kupingana kwa hoja bila kupigana au kutukanana.
 
Back
Top Bottom