halafu unajua haya maneno yako yatanivunjia ndoa kwa salanga!Mwezi mtukufu huu yakhe... Afu ujue kloro alinipa kazi ya kuwa body guard wako eeh?? Mi nakuangalia tu na huyo Salanga wako, !..

Mhhh,

Kumbe kuna raha sana haueni kumalizana na haya mambo ya watoto.....!!

Ngoja tukacheze na wajukuuu!

Babu DC
Hayo ndo mambo my wangu Husn wasitake kututengansha. Naona tuingie ndani tupange mambo yetu,lakini hapa jamvini tuwatafute wasimamizi ili tuhalalishe kabisaaaaaaaaaaaaaaa, Usijali kuhusu mwezi kwani tutasubiria mpaka ifungwe au?halafu unajua haya maneno yako yatanivunjia ndoa kwa salanga! Kwanza kloro ndio nani? Mi namjua salanga tu ulimwengu mzima. Salanga bebiiiiii.,..
Haya Sokwe, nimefika sasa, nipe ujumbe wangu.Mmmmmh! isije akawa ni RussianRoulette, huyo nimeshamuwahi japo bado sijamwambia!
Haya Sokwe, nimefika sasa, nipe ujumbe wangu.

Husninyo & Salanga..

Hongera sana..

Husn ndo muda muafaka wa

Kuonyesha kwanini una PHD..

Take care
kadondokewa husninyo? hapana mwache mwezi uishe kwanza ndiyo umwambie. Kipipi wewe unfuturisha wenzio jina lako? Shinwa.

Ha ha ha haaa.....! Habari yako binafsi? Njoo basi nawe uchukue pipi kabla offer ya mwezi mtukufu haijaisha....!

kama ni mimi nakubali haraka haraka. Sipendi binadamu ateseke kwa ajili yangu ati.
The truth shall set you free. Kama una kifua basi usiogope mkuu just toa lililoko moyoni mwako. Kukosa na kupata yote ni matokeoHabari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake(kama anayo). Ni mtu anayetoa hoja ambazo mara nyingi zimenivutia. Akiniruhusu kubadilishana naye mawazo ni bonge ya furaha kwangu. Nifanyeje?
halafu wewe una kesi.
Husny na ujanja woote ule... nilijua wee hunasagi, kumbw janja yako Salanga....lol So proud of you...

Husny na ujanja woote ule... nilijua wee hunasagi, kumbw janja yako Salanga....lol So proud of you...

Kesi gani tena jamani we mrs Salanga?
ngoja nikupm nisimwage mchele kwenye vyuku.