Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,799
Wasalaam,
kwa heshima na taadhima nakuja mbele zenu kuyawakilisha yale machache yalioujaa moyo wangu.
Kutoka katikati ama kwenye shina la moyo wangu,
natabngaza rasmi watoto wangu wote hawata tumia jina la ukoo wangu, ila watatumia jina la ukoo wa mama yao ambaye ni mke wangu.
Nimeamua kufanya hivyo kwa kuwa mama yao ndio anauhakika wa dhati wa baba wa mtoto.
Sina haja ya kufanya d.n.a test, na ninamuamini sana mama watoto wangu.
Ila si unajua tena kama unadhani nyie wanaume mna mambinu basi wanawake wana mitego