Nataka nunua toyota platz ni gari nzuri?

mangoda

Member
Apr 11, 2011
19
7
wapendwa wanajamvi, nataka nipate kausafiri kidogo nimechoka vurugu za daladala. Kuna mtu kaniambia ataniuzia toyota PLATZ kwa sh 8mn/= Je platz ni gar nzur wapendwa na je bei ni rsonable?
Pia kuna mkuu mwingne anauza suzuki swift kwa 9.5 million, je hyo bei pia ni resonable?
nisaidieni wakuu kwa ushauri mana me mambo ya magari sina utaalam kbsa. mbarikiwe wote
 
uzuri wa gari unategemeana na mtu binafsi mtazamo wake, uwezo wake wa mfuko, matumizi yake, maeneo anayokaa au anayotarajia kutembelea mara kwa mara n.k n.k. na kuh bei hebu acha uvivu nenda kazunguke kwenye show rooms za magri upate bei ya sokoni ndio ulinganishe na hizo zinazouzwa mikononi mwa watu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom