Nataka niuze nchi ya Tanzania nifanyeje?

nchi iuzwe mara ngapi tena? au wale wanunuzi walishindwa kumalizia lile deni lao walilobakiza? hakikisha kwanza usije ukaingizwa mjini maana mimi nakumbuka TZ iliuzwa zamani tu na down payment ilitolewa.
 
Bookschool we dogo acha hii nchi ilishauzwa ni ya RA, tajiri Ambani
amekuja juzi naye anataka kuinunua toka kwa RA
 
nchi walishanunua watanzania wenye asili ya ASIA ndio wana nyumba zetu zote za NHC ingawa tulizitaifisha wakati wa azimio la arusha!mashamba yote ya katani moetl ingawa hayaendelezi etc!tanganyika packers kawe etc!
 
Huwezi kuuza kitu ambacho kimesha uzwa. Ungetaka ushauri wa kumuua RA ningekupa na ungefanikiwa ndani ya masaa 24.Labda kama kuna mtu amefika bei, basi weka cha juu then muone RA kwani yeye ndiye mmiliki wa sasa wa nji hii.

DU,,NaSIKIA RA YUKO JELA MALAYSIA
 
Samahani Watanzania wenzangu natamani kuuza nchi hii na nyinyi nyote mliomo ndani, ikiwezekana labda muhamie nchi nyingine. Mnaweza kunisaidia kujua Procudure za kuuza?


ANYONE who tired.

Bookschool,

Mbona umechelewa? Nchi tulishauza siku nyingi sana, wewe ulikuwepo wapi? Sasa ivi ndio tunamalizia malizia vipande vilivyobaki kule bonde la Mto Rufiji ambayo tumewauzia Wakorea. Juzi juzi tulimaliza deal ya kuuza Serenegeti ambayo tumewauzia Wachina...!

Pole sana kwa kuchelewa. Wenzio tuliwahi na tumeashamaliza mauzo ya hii nchi. Labda kajaribu Rwanda au Burundi. Kenya wao hawauzi wao wanaingia ubia, sio kama sisi tunauza kabisa...!
 
You must be nut!!! Can't you find a better way to waste your time????......
 
ww nchi ilishauzwa kitambo. uko wapi? huoni tu, Richmond tuliwalipa each day 152 mil
for two yrs halafu wakapeana mkataba na Dowans = Richmond na leo wanataka 185 bil,
na madudu kibao in Election, mikataba etc, sold already
 
wageni wanaokuja kunyonya nchi wameishaanza kuinunua miaka mingi
amia nje then njoo kwa raisi na pesa zako utaipata tu
 
Kauze zenji,nasikia kuna watu 1.5mil. Waambie waamie kibaha alaf tulime mchicha na kufuga mbwa na sokwe ili wasaidie kuilinda Tanganyika. Pale kibaha tutawapa wazenj eka1 kila mtu! Ila niuzie mie nataka nimalize kero za muungano kiaina,au vp?
 
Bookschool,

Vaa nguo za kijani na manjano halafu pitia ofisi zilizopo Lumumba, ukifika eleza shida yako, kama uko tayari kutoa 10% to 30% ya bei utakayouzia utapewa kibali.

Utaratibu sio mgumu, mkuu.... Nguo za kijani na mamnjano na brief case! Ufanye haraka, kuna madalali wengi.

Mkuu abadili na rangi yake maana weusi hatuwapendi sana. Aonekane mzungu au muasia.. Aanzia kwa kamba ili awasiliane na RA, EL watamwelekeza JK asign faster mkataba.
 
nchi ishauzwa kwa wahindi, warabu na wazungu na watanganyika wote ni watumwa wao labda uje na idea ya kuirudisha tanganyika kwa watanganyika kama wazanzbari walivyoamua kuirudisha zanzibar yao mikononi mwao.
 
Samahani Watanzania wenzangu natamani kuuza nchi hii na nyinyi nyote mliomo ndani, ikiwezekana labda muhamie nchi nyingine. Mnaweza kunisaidia kujua Procudure za kuuza?


ANYONE who tired.

Pole sana Bookschool,its 2 late 4u start thinkng about procedure of selling thiz country........coz ur no longer owner of subject...nchi hii imeshauzwa nawe umeshauzwa na faida watu wameshagawana.......Dnt tel m Ur among of thoz monkeyz share holders!!!!
 
Back
Top Bottom