Bookschool
Member
- Dec 28, 2010
- 9
- 0
Samahani Watanzania wenzangu natamani kuuza nchi hii na nyinyi nyote mliomo ndani, ikiwezekana labda muhamie nchi nyingine. Mnaweza kunisaidia kujua Procudure za kuuza?
ANYONE who tired.

Da Bookschool, unataka kuuza nchi?, sasa tutaenda wapi ndugu yangu?, Kwa nini Husikomae tu kama wenzako, we vumilia tu machungu yote (Umeme Juu, Nauli za daladala kupanda, maji juu, mafuta juu, vyakula bei juu).
Bora JIPANGE kuwauza MAFISADI wotee, NCHI YETU TUACHIE.
Jipange kuwaondoa Mafisadi kwenye nchi yetu Dowans, Epa na viongozi wasio na Uchungu na Wanaojidanga kuwa Hawatakufa.
Samahani Watanzania wenzangu natamani kuuza nchi hii na nyinyi nyote mliomo ndani, ikiwezekana labda muhamie nchi nyingine. Mnaweza kunisaidia kujua Procudure za kuuza?
ANYONE who tired.
BookschoolSamahani Watanzania wenzangu natamani kuuza nchi hii na nyinyi nyote mliomo ndani, ikiwezekana labda muhamie nchi nyingine. Mnaweza kunisaidia kujua Procudure za kuuza?
ANYONE who tired.
nenda PPRA...
Samahani Watanzania wenzangu natamani kuuza nchi hii na nyinyi nyote mliomo ndani, ikiwezekana labda muhamie nchi nyingine. Mnaweza kunisaidia kujua Procudure za kuuza?
ANYONE who tired.
Tuachie TARIME mdogo wangu please...