Nataka nisome law lakini....'

tabibumtaratibu

JF-Expert Member
May 29, 2011
2,405
1,181
Jaman wana jf embu nishaurini nimefaulu kwa kiwango cha juu HGK ila watu wananiogopesha kuhusu law eti mkopo hupewi,ajira utasota na pia mambo magumu sana! Na mm naipenda sana hii fakat ushaur plz... Kwa wenye uwelewa na hii kitu'
 
Soma kitu ukipendacho bwana mdogo,usifuate mkumbo ili tu upewe mkopo.
 
Fanya unachoamini utafanikiwa, kazi zipo kwa wale wapendao kazi zao wala sio wale waambiao nini cha kufanya. Piag sherai chooka na GPA ya 4 then omba kufundisha au fungua law firm uwe kama akina mkono.
 
gud advise, thanx
 
Umefaulu kwa kiwango gani? Unataka kusomea wapi? Law ngumu UDSM tu. Usichaguliwe hatma yako...
 
Ndugu kabla ya kujaza angalia mwongozo wa TCU ambao unaonyesha kozi zitakazo pewa mkopo na ambazo hazitapewa mkopo. kama we ni maskini kama mimi kusoma sheria sahau maana hakuna cha mkopo wa ada wala meal and accomordation. Na hapo bado hujaongelea pesa za kuja kujilipia law school. Kama nyumbani mambo safi wala haina shida
 
Sasa wanaosoma sheria ada wanalipaje kama mikopo hakuna?
 
Back
Top Bottom