Nataka nisafishe meno

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
320
ndugu zangu ninataka kusafisha meno yangu ili niwe na meno meupe. Mimi ninaishi jijini tanga, naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote anayefahamu kliniki nzuri wanayosafisha meno ambayo ipo tanga mjini.
 
kuna clinic nzuri ipo oysterbay inaitwa international dental clinic muone dokta nazira moustafova namaba yake 0762612712 ipo maeneo ya sea princess building

pia unaweza kuwaona three crowns swedish dental clinic ipo pale movenpick opposite na swimming pool namba zao ni 0713353435

hizi sehemu mbili ni proffesional
 
Du hizo sehemu si wanaweza wakakwambia laki nane?
 
Du hizo sehemu si wanaweza wakakwambia laki nane?

hizo ni sehemu za mafisadi king kong, miaka minne ilopita niliwahi kufanya cleaning pale dentist ya moven pick alinafanyia huyo msweden kwa laki moja...sasa hivi na mfumuko itakuwa sh ngapi?????
 
Agha Khan vipi..nimeona wana dental department kubwa pale. Kuna Dr mmoja nimemsahau from Pakistan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom