Nataka nijue ukweli...

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
407
75
Habari za saa hizi ndugu wanaharakati wa jf nafikiri bado mnaendelea kukuna vichwa vyenu ili muweze kutukusanyia na kutuletea habari mbalimbali zinazotokea kila kukicha.
Shida yangu ni kwamba ni muda mrefu sasa najaribu kufuatilia na kutafakari ili niweze kupata jibu lililosimama (kueleweka) ila bado inakuwa ngumu.
Ndio maana nimeamua kuanika ktk ukurasa huu wa watu wa busara ili mnisaidie katka hili, Yaani nani mwenye mapenzi ya kweli (anayependa) zaidi kati ya mwanaume na mwanamke?
 
Hivi kupenda kumewekewa species moja tu? kuwa ni lazima awe mwanamke au mwanaume ndio anapenda zaidi? sio hivo Isaa, It dependes na watu wenyewe na mahusiano yenyewe.
 
same old question...yeyote anaweza kuwa au kutokuwa na mapenzi zaidi ya mwenzake
 
Hivi kupenda kumewekewa species moja tu? kuwa ni lazima awe mwanamke au mwanaume ndio anapenda zaidi? sio hivo Isaa, It dependes na watu wenyewe na mahusiano yenyewe.
Men & women belong in one specie, mambo vp lakini
 
Men & women belong in one specie, mambo vp lakini

Ninaweza we are of the same species but completely different, I meant it in that sense.. sababu ni wazi women will never completely understand men and vice versa... Mambo salama. It is a weekend, yale mabaya unaweka tu 'pause' button.
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli WANAUME ndo TUNAPENDA ila WANAWAKE wanatuhurumia tu, ila tatizo ni kwamba HURUMA ya mwanamke ni mara 12 ya KUPENDA kwa mwanaume. na ndo maana MAPENZI YA KWELI huanzia kwa MWANAMKE na baadaye kumwambukiza mwanaume..
 
promiseme, Hujaona/sikia mwanaume anajiua kwa sababu ya kupenda????

Kwa hili wote wanapenda na wote hawapendi, Ni makundi ya watu Duniani, wala huwezi sema mmoja anawekeza kwenye kupenda kuliko mwingine kwa jinsia
 
Last edited by a moderator:
Kinakipimo kimoja kinaitwa LOVEMETER nenda kanunue upime utaona yupi anayependa zaidi sawa?
 
Wenye upendo ni wanaume (viumbe vya kiume) na hivyo huugawa sana upendo wao. Upendo kuzidi Ndio sababu tuna POLYGAMY nyingi kuliko POLIANDRY.

Bazazi ni Bazazi!
 
Back
Top Bottom