nataka nijue moderator aliye kwenye hili jukwaa kabla sijatoa maamuzi magumu

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
Ni nani anamoderate chit chat? Nataka nimjue kabla sijatoa maamuzi magumu coz anavuruga akili za watu kinomoumer. Haiwezekani mtu aanzishe thread halafu uidelete kama unanawa vile tena bila taarifa. Unanikomoa kwani nmekuchukulia demu? kama demu kanipenda mwenyewe.Sasa nasema hivi, rudisha uzi wangu kabla moto haujakuwakia la sivyo umod wako upo rehani. Mia
 
Unahangaika nini na miamuzi migumu? Si umroge tu ?Kuna ,Kipapai KipandeAlbadiri n.k piga kimojawapo, hujaona mi nilimpiga kipapai BADILI TABIA ana siku 3 halioni jukwaa la Chtcht, labda leo ndo naweza nikamlegezea.
hamna haja ya kumpiga kipapai wala kiembe, huyu dawa yake ni kumtoa kishipa ashinde amevaa msuli na kilaptop chake. tuone kama atathubutu kupanda lift za kitega uchumi. Mia
 
una biti kama jamaa aliyeibiwa wallet kwenye daladala bana!
Hili sio biti. unajua hawa mamoderator wanaleta wivu wa mapenzi hadi kwenye thread za watu. Mimi ninacho wataka warudishe uzi wangu la sivyo wajiandae kabisa. Mia
 
Mod ni mimi...Sema mia...!Tatizo nini?Ntaurudisha lakini usinipige mkwara
wewe si tulikuwambia ukamoderate jukwaa la wakubwa? sasa ni nini kimekuleta chitchat? Sasa nataka nikufanye uwe mfano kwa mamod wote viherehere kama wewe. Ntakacho kuafanya utawasimulia hao wenzio wanakesha kwenye laptop wakisikiliza umbea. Jiangalie vizuri kwenye suruali utakua ushaanza kuona mabadiliko. Mia
 
hAhahahaha, nimecheka hadi machozi yananitoka. figganigga, yamekua haya Tena? Nambie nani kakuchokoza, tema mate nimchape. Ni thread gani hiyo?
 
Last edited by a moderator:
umesahautikiti maji la buku tano
hahahaaaa....!!!. Huyu mod namuonea huruma sana. amekosa sehemu za kuchezea yana amelamba garasa. nafikiri hakuomba ushauri kwa Paw kabla ya kutupa kapuni thread yangu. au Paw mwenyewe ndo mhusika?. Mia
 
Last edited by a moderator:
wewe si tulikuwambia ukamoderate jukwaa la wakubwa? sasa ni nini kimekuleta chitchat? Sasa nataka nikufanye uwe mfano kwa mamod wote viherehere kama wewe. Ntakacho kuafanya utawasimulia hao wenzio wanakesha kwenye laptop wakisikiliza umbea. Jiangalie vizuri kwenye suruali utakua ushaanza kuona mabadiliko. Mia

hahahahahahaahahahahaaaa !!!!kama vipi mlegezee japo kidogo,lakini Mkuu unaBit kasoro Mdundo.
 
hAhahahaha, nimecheka hadi machozi yananitoka. figganigga, yamekua haya Tena? Nambie nani kakuchokoza, tema mate nimchape. Ni thread gani hiyo?

Jamaani eeh!? Mbaya wangu nakaribia kumkamata. machale yamenicheza. nataka nibadilishe adhabu coz hii adhabu ya kutoa mtu kishipa inaweza isifanye kazi barabara. Invisible naomba unisaidie kumchagulia adhabu. ngoja kwanza niteme mate achapwe. chapa..chapa..chapa. Mia
 
Last edited by a moderator:
Kipapai chako kilikuwa feki.....
Labda ulinipiga kimchicha....

Unahangaika nini na miamuzi migumu? Si umroge tu ?
Kuna ,
Kipapai
Kipande
Albadiri n.k piga kimojawapo, hujaona mi nilimpiga kipapai BADILI TABIA ana siku 3 halioni jukwaa la Chtcht, labda leo ndo naweza nikamlegezea.
 
hahahahahahaahahahahaaaa !!!!kama vipi mlegezee japo kidogo,lakini Mkuu unaBit kasoro Mdundo.

hii ni zaidi ya mgomo wa madaktari. naweza nikafanya mambo kama niliyofanya kuanzia tarehe 12 hadi 15. naweza nikawafungia mtandao wote ukabuma kila ukiingia unakutana na alert; "tunarudi mda si mrefu kwa maoni tuandikie support@jamiiforums.com. lakini kabla ya hiyo adhabu nataka nideal na mtu mmoja mmoja. leo naanza na mod wa hili jukwaa. mia
 
Back
Top Bottom