Nataka mtu wa kupanga fremu yangu ya biashara niliyopangisha kariakoo

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
NIMEPANGISHA FREMU KARIAKOO KWA BEI YA LAKI MBILI KILA MWEZI NIKALIPIA MILION MOJA POINT 2, YAANI Tshs. 1,200,000/= KWA KODI YA MIEZI SITA (6).MARA BAADA YA KUANZA KIJANA WANGU NINAYE MTEGEMEA AMEPATA KAZI YA KUAJIRIWA HIVYO SINA MTU WA KUNIUZIA.NAOMBA MTU ANAYETAKA APANGE FREMU HII NA KUNIRUDISHIA KODI YANGU AWASILIANE NAMI KWA SIMU NO. 0713 68 96 65 NAITWA MAMA ANNADAR ES SALAAM
 
Samahani jamani mtaa karibu na barabara kabla ya CLUB YA SIMBA kama unaenda huko ni mkono wa kulia unapoenda kwenye jengo la simba ni mkono wa kulia. Nitautaja huu mtaa kesho Mungu akijalia
Asanteni sikuwa na internet connection ndiyo sasa hivi naingia kwenye mtandao na kuona replies za watu mbali mbali


mbona kataja na bei hapo juu,we unataka bei gani tena,after all kaweka mobile no,mpigie
 
Mama Anna, tafadhali naomba unitajie vipimo vya hicho chumba-ukubwa!
 
mama Anna,
Je huo mtaa ni maarufu kwa buashara gani? maana mitaa mingi kariakoo inajigawa kuuza vitu fulanifulani zaidi wakati mwingine tofauti.
 
Mama Aaana eeeee....niliiini utarudia nyumbaniiiii...ujee uwaone wateja wakoooo kweeeliiii, tararatarara tatataaaa!:violin:
 
Mtaa wenyewe uko kwenye barabara ya mkono wa kushoto kabla hujafika club ya simba
Ni maarufu kwa biashara ya nguo za reja reja na jumla

mama Anna,
Je huo mtaa ni maarufu kwa buashara gani? maana mitaa mingi kariakoo inajigawa kuuza vitu fulanifulani zaidi wakati mwingine tofauti.
 
mtaa wenyewe uko kwenye barabara ya mkono wa kushoto kabla hujafika club ya simba
ni maarufu kwa biashara ya nguo za reja reja na jumla


samahani kama unakwenda club ya simba barabarani mtaa huo upo mkono wa kulia sio wa kushoto samahani sana
barabara inaitwa mtaa wa mchikichini na kongo
 
Suzzie,
Sijapata mteja bado wengi wameahidi kukamilisha mipango ya fedha lakini hawajalipa bado.
NAFASI IPO BADO. Ninashida na SIMU YANGU wengi wanalalamika ni ya Mchina nitajie yako nikupigie
ASANTE NA KARIBU
 
Back
Top Bottom