Nataka Magwanda ya Chadema

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Yale ya khaki. Nipendeze kidogo, au vipi?

Mwenye anajua duka yanauzwa aniambie. anielezee.

Thanks
 
Mimi pia nayaitaji. Nimekua na hitaji ili kwa mda mrefu. Nikawaza pengine yanapatikana kwenye ofisi za chama. Nikaenda ofisi ya Ubungo,nikakosa.

Mwenye kujua yanapopatikana,tafadhali tujuze.

Asante.
 
Je yanaweza kupatikana nje ya Tanzania pamoja na yale mashati anayovaa Slaa? Vile vile ninapenda kujua kama ninaweza kupata bendera ya CHADEMA:
 
Nafikiri vitambaa vya rangi hiyo vipo madukani kwa wingi kabisa,ni kununua na kushonesha kwa mafundi cherehani.Mimi nimeshashona yangu,ninapoivaa huwa inanipendeza sana!!
 
Nafikiri ni watu wengi wanahitaji (pamoja na mimi), hivyo Chadema wangefanya mpango hizo gwanda za kipiganaji ziweze kupatikana kwa urahisi kwenye ofisi za Chadema na hata mitaani.

Watakuja wahindi waingilie waanze kuzitengeneza na wauze huku Chadema wakikosa mapato. Mfano mzuri ni hizi kalenda za Chadema watu wamechakachua na mtaani zinagombewa hadi vijijini.
 
Nafikiri vitambaa vya rangi hiyo vipo madukani kwa wingi kabisa,ni kununua na kushonesha kwa mafundi cherehani.Mimi nimeshashona yangu,ninapoivaa huwa inanipendeza sana!!

halafu ukipanda Tukutuku unapendeza zaidi.... ha haaaaa
 
Ndugu Mnyika au Zitto chonde tupeni uwepesi katika hili maana nami wenzangu wameniibia tu hili wazo. Ila kwangu mimi sitaki za kuja kuharibiwa na mafundi cherehani ambao wengi wao hutokea kuwa wa CCM. Original kama ya wazee pale tafadhali.
 
Ongea na makonda wa daladala

use your brain
images
 
PIGA 0784 222222, 0655 694553,0756 809 535.TUTAKULETEA MPAKA NYUMBANI ZiKO NYINGI SANA,BEI NI LAKI MOJA KWA ZILE ZA KAKI ZILE NYEUSI NI LAKI NA NUSU
 
PIGA 0784 222222, 0655 694553,0756 809 535.TUTAKULETEA MPAKA NYUMBANI ZiKO NYINGI SANA,BEI NI LAKI MOJA KWA ZILE ZA KAKI ZILE NYEUSI NI LAKI NA NUSU

HIZO NAMBA KAMA NAZiJUA,HIYO BEI MBONA IKO JUU SANA MTAWALA ZA KWELI AU????? NA HIZO GWANDA ZIKO WAPI?AU NDI WAHINDI WAMEANZA UCHAKACHUAJI??
 
Jaman gwanda zinapatikana pale makao makuu. Zipo kibao,ukifika sekretari/mapokezi wanakuuzia tu. Ni cheap mpaka 30elfu, shati za kawaida elf8,kofia elf5. Msiende kwa walanguzi,fika pale ufipa,kinondoni uchukue kwa bei poa. Niko tayari hata kuwasaidia. Hapa kama uko Tanzania,basi piga simu makao makuu wape vipimo vyako,wakishakuandalia,niPM mi niende nikuchukulie ili nikupost to your address,hata kama uko nje ya nchi naweza kufanya msaada wa kukutumia! Trust me at no price. Kumbuka hautanilipa chochote,ila gharama ya usafirishaji ni juu yako.
 
hizo namba unalizotupa hapo juu ni za nani???
 
Mimi nataka magwanda ya Chadema ili nimkabili yule mdosi anayetupa tabu humu nchini -- anayetaka kutuibia mabilioni kweupe? Nikipata magwanda hayo mniambie wapi nitapata kiurahisi kwani nitamfanyia kitu mbaya sana na ajue ni chama gani kinachomchikia kuliko vyote.
 
YUPI HUYO WaKO WADOSI KIBAO WANAOTUIBIA HAPA ROSTAM AZIZ,MANJI,BAHRESA,MOHAMED DEWJI,ZAKHIA MENGJI NA WENGINE KIBAO
 
Back
Top Bottom