Nataka kuzalishwa, mtoto nitalea mwenyewe.

Tatizo lako linaweza kuwa ni hapo nilipoweka redi!

Huu ni upupu!
Dada unapepo mbaya na elimu uliyonayo yaijakusaidia. Km ni elimu ya ushehe Yahya sawa....
Kulikuwa hana haja ya kuuliza ushauri humu mtafte JULIANA URIO yule mmriki wa binti kisura make naye ndivyo alivyo so atakusaidia.
 
Mi mzungu ila mchaga utantaka? Sio utani nimezaliwa hapa maili sita mzungu haswaa tena mjerumani. Tulonge basi!
 
Back
Top Bottom