Nataka kuwa na uso laini

Nishawah kuwa na tatzo kama lako kuna mshkaj alinishaur kutumia sabun ya B 29 nyekundu kwa kunawa uso kwa muda wa dakika 3 mpaka 5 mara tatu kwa siku, cha kufanya unasafisha uso kwa maji safi iwe wakat wa kuoga au kama huog zaid ya mara moja bas weka ratiba ya kusafisha uso, ukshasafisha paka sabun ya kutosha usoni kisha tumia mikono yako kusugua uso kwa muda wa dakika 3 mpaka 5 kisha osha uso wako kwa maji saf mpaka sabun iishe kabisa na baada ya hapo jifute kwa taulo kisha paka mafuta au lotion chochote unachotumia au kama huwa hupak mafuta bas uspake. baada ya mwez utaona tofaut kaka.
 
Hii sabuni inapatikana wapi aisee?@mgoshawampasa
 
Hi wana JF mimi ni mvulana nina vichunusi lakini sio sana hali iliyopelekea nipate madoa meusi na uso wangu kupoteza hali ya usoft.Nataka niwe soft kama mtoto.Nisaidie jamani nifanye nini ili niondoe chunusi.Na hayo madoa na pia niwe soft.Ninaishi mwanza

pole na tatizo lako,,karibu Oriflame tutachunguza ngozi yako na kukupa ushauri na tiba gani utumie..bei zetu ni nafuu utafikishiwa hukohuko Mwanza
 
Back
Top Bottom