Nataka kuwa na speed kwenye kutype msaada plz!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wakuu nataka niwe na speed ktk kutype hapo mwanzo mwalim aliwah nifundisha kutype kwa kuweka vidole moja kwa moja katika keyboard na kutoangalia moniter wakati wakutype. Na pia kuna njia yakutype kawaida kwa kuchagua herufi na kugusa msaada wenu plz nitumie njia gani ili niwe na speed nzuri. Nawasilisha.
 
Kuna program flani ya microsoft inaitwa "learn how to type" ni kama game. Itafute itakusaidia
 
Unataka kuwa secretary?? Aniways kuna cd zenye program ya kufundisha na pia kutupetype mara kwa mara kunaongeza speed n kuna
 
Unataka kuwa secretary?? Aniways kuna cd zenye program ya kufundisha na pia kutupetype mara kwa mara kunaongeza speed n kuna

hapana sina nia ya kua secretary ila nataka kuwa mjuz sana wa kutype je zinaitwaje hzo cd na zinapatikana wap?
 
Tafuta "MAVIS BEACON TEACHING TYPING" iko vizuri xana mkuu, hapa nilipo natumia computer na wala siangalii keybord. kama ni mjuzi wa kudownload kutumia torrentz tafuta huko mimi niliipata huko.
 
Au tafuta moja inaitwa Typing Master inapatikana download kutumia Google.
 
Thanks kwa maelekezo wadau na kwa swali la nyongeza hv kwa mliopitia huo mfumo hv uwekaji wa mikono unaotumika ni ule wakufix vidole au wakudokoa herufi?
 
pamoja na hizo software inabidi uwe na tabia ya kutaype mara kwa mara itakusaidia sana kuizoa keyboard.
 
pamoja na hizo software inabidi uwe na tabia ya kutaype mara kwa mara itakusaidia sana kuizoa keyboard.

bado upo kijijini au ushakuj a mwanza ? hebu nicheki kama upo mwanza kesho tuonane
 
hata uchangaike kumtafuta mtu hio mavis ya zamani cha kufanya download hii program inaitwa typing master ita kuonyesha kila buton na kidole chake k2 ambacho hata ukifumba macho utaweza kutype pia kuna kozi michezo ya kutest speed na mengine gonga hapa TM january4.rar hakikisha ukidownload kabla hujainstall soma maelezo ndan ya file ambalo lina serial keys
 
kama uko dar ntafute weekend nkupe mavis beacon......ila unatype kwa kuweka vidole kwa keyboard mach0 yote kwa monitor...
 
hata uchangaike kumtafuta mtu hio mavis ya zamani cha kufanya download hii program inaitwa typing master ita kuonyesha kila buton na kidole chake k2 ambacho hata ukifumba macho utaweza kutype pia kuna kozi michezo ya kutest speed na mengine gonga hapa TM january4.rar hakikisha ukidownload kabla hujainstall soma maelezo ndan ya file ambalo lina serial keys

akhsante mkuu ntajitahid nifuate malezo uliyonipa.
 
Back
Top Bottom