Nataka kuwa agent kampuni yoyote ya bia nipo Lindi..!

twende kazi

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,520
459
Mwenye kufahamu vigezo na masharti anifahamishe..Kama upo kwenye system tuwasiliane 0715/0755 200221...Nipo serious na nimejipanga..Karibu..Ahs sana..!
 
Lindi iko maeneo gani ili niweze jua nani atakusupply kama tbl,mbeya plant,mwanza plant,arusha plant,dar plant
 
duuuh..!kweli naishi bush ina maana huujui mkoa wa lindi mkuu?nipo lindi mjini mikoa ya kusini huku..!
 
Kama ni kusini supplier wenu atakuwa mbeya plant ama dar plant nipe muda niwasiliane na watu wa sales then nijue afu ntakupa feedback .
 
Kama ni kusini supplier wenu atakuwa mbeya plant ama dar plant nipe muda niwasiliane na watu wa sales then nijue afu ntakupa feedback .

Mkuu unaporudi hewani, naomba ujaribu kutufahamisha kuhusu vigezo gani vya kuzingatia hata mimi ninahitaji kufanya biashara hiyo.Kwa mfano kwa kuanzia natakiwa kuanza na kreti ngapi na kama nipo wilayani,mzigo utanifikiaje n.k.
 
Cha msingi ni kuwa hilo eneo ambalo unataka kuwa agent uwe na soko unalolenga,na uwe na go down halafu na nyenzo ya kusafirishia bidhaa hadi kwa wateja,ila kwa hapo unatakiwa uwe umejenga uhusiano na wateja ili biashara yako iende smoothly,na pia kuhusu hapo lindi tunae distributor sasa cha msingi unaweza kuongea na huyo distributor ili akuonyeshe ni eneo gani kuna demand,ntakupm sa hv namba ya mtu wa tbl anayehusika na mambo ya ma distributor na maagents natumaini atakusaidia,na kama kutakuwa na mtu anayehitaji ufafanuzi zaidi anaeza kuuliza
 
Back
Top Bottom