Nataka kuwa Afisa Upelelezi wa kituo cha Polisi, je nikajieleze kwa Mkuu wa Kituo?

Joel Johansen

JF-Expert Member
May 12, 2016
242
319
Wadau,

Mimi nimesomea fani ya ICT na nimeajiriwa lakini nina element za upelelezi na ufuatiliaji tangu ukuaji wangu. Nina motivation ya kuwa part ya Jeshi la Polisi kama Afisa Upelelezi lakini sijiskii kwenda Chuo cha Uaskari kwa miaka ingine kadhaa. Je, ni hatua zipi nifuate nifikie hii ndoto?

Ninapoishi kuna kituo cha polisi ambacho huwa natamani ningekuwa pale hata kuwasaidia kwa chochote. Nilifikiria kumface Mkuu wa Kituo na kumweleza lakini sijui kama ni sahihi.

Napenda maisha ya kumtrack mtu, shughuli za kiintelijensia na kujichanganya maeneo nikiwa kama mtu was kawaida kumbe ni Mpelezi.

Nifanyeje? nianzie wapi? Kuna uwezekano wa ku-jumpstart?
 
Kama umri haujaenda wewe nenda tu CCP wala hutachukua mwaka kama unavyodhani mbali na hivyo utaendelea kuota ndoto yako bila kuitimiza
 
Nikulipe bei gani mie unipelelezeee mpenzi wangu asitumie pesa...akitoa mwili wake sawa...ila asitoe pesa ambayo anajua tumechuma wote... Hahahaaaa najicheka sababu mie bado bwikra na mdogo.

Ila kiukweli ungeanzia kazi hizo utavuta mpunga sana kutoka kwa wasiojiamini kwa kutaka kujua ya wenza...mimi hiyo duh nikikua sitafanya sababu mimi atakapofanya atajiju nami nikifanya
 
ukienda ccp ukitoka utaishia kuinda benki,watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa ,kuna provate firm kibao za mambo ya kipelelezi kama vipi fungua yako au omba ajira huko,kwa msaada mtafute IGP mtaafu maundi pale clocktower ana kampuni ya dizaini hiyo,angalizo we waweza kuta hauna element za mpelelezi bali mbea
 
Nenda tu! Kwa mkuu wa polisi mweleze atakuelewa anaweza ukawa askari mzuri tu. Kuna kijana mmoja alianza kushinda kituoni akipiga stori na maafande, mara wakimtuma msosi mara vocha mara akawa informer, sikunyingine akipanda defender pamoja na maafisa na sasa ni askari mzuri tu na mzalendo, ila alipita ccp baadae.
 
ukienda ccp ukitoka utaishia kuinda benki,watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa ,kuna provate firm kibao za mambo ya kipelelezi kama vipi fungua yako au omba ajira huko,kwa msaada mtafute IGP mtaafu maundi pale clocktower ana kampuni ya dizaini hiyo,angalizo we waweza kuta hauna element za mpelelezi bali mbea
shikamoo mdukuzi
 
Mtoa mada upo km mm,
Incase ukpata njia mbadala zaid ya ccp tujuzane mkuu..
Upelelez wa kisasa na ccp vtu vwili tofaut ... Sema kbonhobongo cdhan km inaeleweka..
Some stay in da office,some perform in the field...#teamWork
 
Lazima upite Ccp kwanza,wakakutoe uraia mkuu.askari wote wamepita pale mkuu,halafu mambo mengine ndo yanafata.bila kupita pale wanasema hujawa askari bado.
 
Mtoa mada upo km mm,
Incase ukpata njia mbadala zaid ya ccp tujuzane mkuu..
Upelelez wa kisasa na ccp vtu vwili tofaut ... Sema kbonhobongo cdhan km inaeleweka..
Some stay in da office,some perform in the field...#teamWork

Haiwezekani mwenzako asote na mabio ya kupanda mlima wa Mr. Price kwa miezi kadhaa wewe utoke tu kwenu na mbwembwe nyingi za kufanya kazi ambayo hutaki kuingia gharama ya kuipata...mkuu wa kituo hatoi ajira iwe kwa raia au kwa mgambo bila utaratibu kufuatwa na kama ingekuwa hivyo basi jeshi la polisi au lolote lile lisingekuwa na maana ya kuitwa jeshi. jiulize kwa nini hadi mtu mwenye elimu kubwa tu ya digrii au master lazima aende depo...NENDA DEPO UKAKATE MAGEUKO NA MBIO ZA KUTOSHA ILI HAO UNAOTAKA KUWAPELELEZA WAKIKUSHTUKIA UWE TAYARI KWA LOLOTE.
 
Kuna mlima wa Mr price pale moshi, una maana yake, nenda kwanza ukifanikiwa kumaliza utaniambia, kujua kupepeleza sio Sifa ila ni added advantage,
 
Haiwezekani mwenzako asote na mabio ya kupanda mlima wa Mr. Price kwa miezi kadhaa wewe utoke tu kwenu na mbwembwe nyingi za kufanya kazi ambayo hutaki kuingia gharama ya kuipata...mkuu wa kituo hatoi ajira iwe kwa raia au kwa mgambo bila utaratibu kufuatwa na kama ingekuwa hivyo basi jeshi la polisi au lolote lile lisingekuwa na maana ya kuitwa jeshi. jiulize kwa nini hadi mtu mwenye elimu kubwa tu ya digrii au master lazima aende depo...NENDA DEPO UKAKATE MAGEUKO NA MBIO ZA KUTOSHA ILI HAO UNAOTAKA KUWAPELELEZA WAKIKUSHTUKIA UWE TAYARI KWA LOLOTE.
Sawa mkuu..nmekupata
 
Back
Top Bottom