Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

Status
Not open for further replies.
I was married on 27th April 1991 keko Lutherani Church at 16:30. We engaged in year 1988 At the UDSM. Aliyefunga ndoa yetu alikuwa Mzee malasusa (Baba ya..)

Taratibu utatueleza na jina lake. Twende!
 
MKA thanx very much. Hiyo bodi naendaje? Nipo dar. mali zote najua zilipo hata nyumba alizojengea mahawara najua zilipo.
Nenda ustawi wa jamii pale utaandikisha kuwa ndoa yako inamgoggoro, nao watatoa hati ya kuitwa mmeo mbele ya bodi. Pia, kuna number umeziandika nyingi sasa hivi sijui ni za nini ila tafadhali ziondoe hizo number kwenye thread. zitunze mwenyewe pembeni na ukienda kwenye shauri utazitoa huko au kuweka kwenye 'petition'. Kuziweka hapa zote hizo ni kusaidia upande wa pili wajue nini kinafuatia kwenye ushahidi wako utapohitajika. Usiandike number za watu ambao huna uhakika kabisa kuwa mmeo ana uhusiano nao (mfano yule unayesema alipewa lift na mmeo). Maana kama mmeo ndo alimfuata baada ya kumpa lift na huyo mwanamke akakataa na hawana uhusiano huyo mtu anaweza kukufungulia kesi ya kumchafulia jina, baada ya kukutambua wewe ni nani.
 
Duh pole sana da Mbilia

Kiukweli ww unastahili ile award ya MWANAMKE WA SHOK/IMARA 2012 hii bonge la soo make Profile za Wahusika zinatisha kitu Judge wa High Court plus Senior State Attorney iz equal to Moto wa TIPER haponi mtu.

Wajameni mimi mwenyewe ninahisi south imenyweaaa I wish kama nyumba ndogo yangu akisoma hii sreadi ili tupeane TALAKA kabla jamii haijafahamu ushenzi wetu. Maweeeeeeeeeeeeeeeeee

Inasikitisha Judge mzima hata kutumia busara ya kawaida kama keshanogewa huko anako waumiza Cervix(mostly ni uongo) ili kukufanya ujione Dume la maana. For sure mumeo anajua haki zako zote hazijalishi kama yeye ni Judge au Mwanasheria. Nakuhurumia daima huwa nina amini KULIKONI KUFA in da name of marriage bora kuendeleza maisha nikiwa SINGLE.
 
posti yangu ya kwanza humu,lakini haya mambo sikuyategemea-mimi ni mtu mzima lakini haya yamenizidi kimo-kweli kua uyaone
 
Nyakati nyingi wanaume wamekuwa wakionekana chanzo au sababu za kutoka nje ya ndoa, kuna tatizo kwa huyu mama; bali tu wanawake wamekuwa wakijihesabia haki na matokeo yake mwanaume hujitafutia faraja.
 
MBILIA hata kama mapenzi yameisha vumilia endelea kuishi kwa mazoea usifanye uamuzi wowote utakaowaathiri watoto kisaikolojia; hata hizi taarifa ulizonazo jitahidi watoto wasizifahamu vingenevyo unaweza kabisa kuwafanya wafeli kozi zao.

Mwisho nyumba ndogo kama iko kwenye nyumba au nyumba vya kupangisha isikuogopesha labda kama na wewe miaka 21 ya ndoa bado mko nyumba ya serikali lazima utapanic vinginevyo simamie mali mlizonazo tayari mkononi ni kesho kutwa tuu atastaafu na atatulia kwako kwa adabu zote
 
Si rahisi kukurupuka tu na kuweka thread kama hii hapa. Kwa ujumla ninaushahidi tosha. Ila nilichohitaji NI ushauri wa je, nivunje ndoa au la? na kwa kuwa huyu ni Jaji nianzie wapi. Sasa mlichoniongezea nashukuru sana. Kwani nimefunguka sana.

Ushauri wangu kwenu: MFICHA UCHI HAZAI

TIMES HAVE CHANGED tusiishie kizamani. eti mambo ya mume yafichwe ila ya mke yawe hadharani. Waambieni watoto wenu mlipojikwaa ili kwamba na wao wajifunze wasije fanya mliyofanya. Taboo zisizofaa zifanyeni kama matangazo ya condoms kwenye TV wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Someni EZEKIEL 18 yote
 
Kama utaamua kuvunja ndoa hakikisha unapata haki yako ambayo unastahili, usikubali kabisa kuondoka mikono mitupu baada ya miaka 21 ya ndani ya ndoa.

Si rahisi kukurupuka tu na kuweka thread kama hii hapa. Kwa ujumla ninaushahidi tosha. Ila nilichohitaji NI ushauri wa je, nivunje ndoa au la? na kwa kuwa huyu ni Jaji nianzie wapi. Sasa mlichoniongezea nashukuru sana. Kwani nimefunguka sana.

Ushauri wangu kwenu: MFICHA UCHI HAZAI

TIMES HAVE CHANGED tusiishie kizamani. eti mambo ya mume yafichwe ila ya mke yawe hadharani. Waambieni watoto wenu mlipojikwaa ili kwamba na wao wajifunze wasije fanya mliyofanya. Taboo zisizofaa zifanyeni kama matangazo ya condoms kwenye TV wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Someni EZEKIEL 18 yote

Sasa pia anatishia kunifukuza ili niondoke bila haki yangu. Tuna watoto watano, ndoa ina miaka 21.
 
Nadhani unge soma katika ya mistari me nime kushauri utafute ushahidi vizuri na uhifadhi si ku expose kwani ujui maadui zako wanaweza kuhuharibu na kwa sasa mme wako hana kosa mpaka ithibitike! Kosa unalo fanya ni ku expose ushahidi ambao unge kusaidia. Na ukumbuke ulio wa analyse humu wana haki zao pia wanaweza kukusue kwani bado ijathibitika kisheria wanatembea na mmeo!

Na kushauri uvunje ndoa lakini huu ushahidi uifadhi kwanza, utauonesha kwenye baraza la usuluhishi au mahakamani.

Swala la kukufukuza hanaweza lakini sheria itafata mkondo, wewe ukiwa mwanandoa wake utapata haki zako mfano

*kama kuna mali mlichuma pamoja mtagawana
*kama mna watoto wana hitaji matunzo atagharamia

Si rahisi kukurupuka tu na kuweka thread kama hii hapa. Kwa ujumla ninaushahidi tosha. Ila nilichohitaji NI ushauri wa je, nivunje ndoa au la? na kwa kuwa huyu ni Jaji nianzie wapi. Sasa mlichoniongezea nashukuru sana. Kwani nimefunguka sana.

Ushauri wangu kwenu: MFICHA UCHI HAZAI

TIMES HAVE CHANGED tusiishie kizamani. eti mambo ya mume yafichwe ila ya mke yawe hadharani. Waambieni watoto wenu mlipojikwaa ili kwamba na wao wajifunze wasije fanya mliyofanya. Taboo zisizofaa zifanyeni kama matangazo ya condoms kwenye TV wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Someni EZEKIEL 18 yote
 
Nakuunga mkono...hii imeshakuwa vita;

Adui apaswi kujua silaha zote ulizo nazo.

Mbilia; usiendelee kutoa vielelezo zaidi humu; haita kusaidia ila itafanya wabaya wako wajipange.

Wewe subiri kuwa suprise siku ya siku.

Nakutakia kila la heri mamito.

Mimi mpaka leo nina evidence ambazo zinaumiza watu vichwa...watu wakajifanya mafia kuyafuta ma faili yangu kumbe nina ma back up ya kufa mtu...

Kusanya kusanya eviedence hizo...zitakusaidia siku za usoni.

Nadhani unge soma katika ya mistari me nime kushauri utafute ushahidi vizuri na uhifadhi si ku expose kwani ujui maadui zako wanaweza kuhuharibu na kwa sasa mme wako hana kosa mpaka ithibitike! Kosa unalo fanya ni ku expose ushahidi ambao unge kusaidia. Na ukumbuke ulio wa analyse humu wana haki zao pia wanaweza kukusue kwani bado ijathibitika kisheria wanatembea na mmeo!

Na kushauri uvunje ndoa lakini huu ushahidi uifadhi kwanza, utauonesha kwenye baraza la usuluhishi au mahakamani.

Swala la kukufukuza hanaweza lakini sheria itafata mkondo, wewe ukiwa mwanandoa wake utapata haki zako mfano

*kama kuna mali mlichuma pamoja mtagawana
*kama mna watoto wana hitaji matunzo atagharamia
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nakuunga mkono...hii imeshakuwa vita;

Adui apaswi kujua silaha zote ulizo nazo.

Mbilia; usiendelee kutoa vielelezo zaidi humu; haita kusaidia ila itafanya wabaya wako wajipange.

Wewe subiri kuwa suprise siku ya siku.

Nakutakia kila la heri mamito.

Mimi mpaka leo nina evidence ambazo zinaumiza watu vichwa...watu wakajifanya mafia kuyafuta ma faili yangu kumbe nina ma back up ya kufa mtu...

Kusanya kusanya eviedence hizo...zitakusaidia siku za usoni.

HUKUMU
Mheshimiwa Hakimu Sipendingono wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, ametoa AMRI ya kumuagiza Jaji Mpenda Totoz kuacha mara moja kucheza mechi za kirafiki nje ya ndoa, kutembeza kichapo kwa Mamsapu wake, kufuja mali za ndoa aka KUHONGA totoz. Amri hiyo inatakiwa kutekelezwa kuanzia Jumatatu ya tarehe 15.10.2012 Vinginevyo ndoa yao iliyodumu zaidi ya umri wa miaka 21 itavunjwa vipande vipande kama kikombe cha Mchina. Mwandishi wetu, anaendelea na harakati za kuwasaka wanaosadikiwa kuwa waume wa totoz za Judge ili nao wafunguke kivyao.
 
Nakuunga mkono...hii imeshakuwa vita;

Adui apaswi kujua silaha zote ulizo nazo.

Mbilia; usiendelee kutoa vielelezo zaidi humu; haita kusaidia ila itafanya wabaya wako wajipange.

Wewe subiri kuwa suprise siku ya siku.

Nakutakia kila la heri mamito.

Mimi mpaka leo nina evidence ambazo zinaumiza watu vichwa...watu wakajifanya mafia kuyafuta ma faili yangu kumbe nina ma back up ya kufa mtu...

Kusanya kusanya eviedence hizo...zitakusaidia siku za usoni.
kumbe umeachika...hahaha, mwanamke ambaye hawezi kulinda ndoa yake huyo ana kasoro kubwa. ukiona mwanamke anapenda matalaka kama hao wanawake wa legal and human right centre, ujue huyo mwanamke ana kasoro kubwa mno. pole kama na wewe ulikwenda court kuomba talaka.

kifupi ni kwamba, unamshauri mwenzio aombe talaka kama ulivyofanya wewe? itamsaidia nini? unataka awe nung'ayembe kama wewe?...hahaha. mbilia usichukue ushauri wa huyu...kwani unafikiri evidence gani unahitaji katika kesi ya talaka? kwa kifupi ni kwamba, talaka haitolewi court hadi pale yamefanyika usuluhisho kwenye conciliation board, hao wasuluhisi wakishindwa na ikaonekana kuwa kulingana na ushahidi, ndoa hiyo imekuwa broken irreparably, basi talaka inatolewa kwa wakristo......sasa, kwa hayo tu ambayo anayaongea hapo, ameshika msg etc, hana ushahidi kuwa wamefanya ngono....hajawafumania...hawajaenda hata kwa ndugu kusuluhisha, hawajaenda kwenye balaza la usuluhishi, mahakama haiwezi kumpokea kabisa. labda kama ana lingine.

anavoandika anaonekana ni ugomvi wa kawaida tu ambao ukipoa watarudiana....asihangaike kuomba talaka, ndoa hiyo haijavunjika irreparably. ....
 
Taratibu taratibu...kidhungu...slowly slowly...lol....wapi nimesema nimeachika...

Na hata kama ningekuwa nimeachika cha hajabu gani kitu...?

Nyie ndio mnawanyanyapaa walioachika kwa kuwafanya wa feel guilty hata kama si wakosaji... ndio mnaowafanya watu wafe kwenye ndoa kwa vipigo au HIV kisa wataonekana wanawake wapumbafu (kuvunja ndoa wenyewe)

Angekuwa dada yako ungetoa ushauri huo huo au umechangia kama mwanamme yeyote ambae ana possibility ya kuwa na vimeo

kumbe umeachika...hahaha, mwanamke ambaye hawezi kulinda ndoa yake huyo ana kasoro kubwa. ukiona mwanamke anapenda matalaka kama hao wanawake wa legal and human right centre, ujue huyo mwanamke ana kasoro kubwa mno. pole kama na wewe ulikwenda court kuomba talaka.

kifupi ni kwamba, unamshauri mwenzio aombe talaka kama ulivyofanya wewe? itamsaidia nini? unataka awe nung'ayembe kama wewe?...hahaha. mbilia usichukue ushauri wa huyu...kwani unafikiri evidence gani unahitaji katika kesi ya talaka? kwa kifupi ni kwamba, talaka haitolewi court hadi pale yamefanyika usuluhisho kwenye conciliation board, hao wasuluhisi wakishindwa na ikaonekana kuwa kulingana na ushahidi, ndoa hiyo imekuwa broken irreparably, basi talaka inatolewa kwa wakristo......sasa, kwa hayo tu ambayo anayaongea hapo, ameshika msg etc, hana ushahidi kuwa wamefanya ngono....hajawafumania...hawajaenda hata kwa ndugu kusuluhisha, hawajaenda kwenye balaza la usuluhishi, mahakama haiwezi kumpokea kabisa. labda kama ana lingine.

anavoandika anaonekana ni ugomvi wa kawaida tu ambao ukipoa watarudiana....asihangaike kuomba talaka, ndoa hiyo haijavunjika irreparably. ....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom