Naomba ushauri jinsi ya kujua value halisi ya biashara.je ni asset zilizopo.eneo ilipo biashara ,au ni faida inayopatikana kwa mwezi au mwaka.
Aina ya biashara ni stationery .
Na wasilisha
<br />njia rahisi ni dhamani ya Asset ulizonazo + Goodwill(eneo uliloweka biashara)
<br />Taja bei inayokutosha, pamoja na eneo biashara yako ilipo ili watu wajue kama inalipa wanunue. Ukianza ku-complicate mambo hapa hutapata wateja.
Mh, mkuu hii ni goodwill ninayoijua au?unaangalia market value (realization value) ya asset zako jumlisha goodwill ndo unapata thamani ya biashara yako. sasa goodwil value yake inategemea uwezo wa business yako kutengeneza faida
MKUU KAMA HIYO "GOODWILL" INAKUKANGANYA JE NIKIINGIA NA "ILL-WILL" SI NDIO UTAKUFA KABISA...acha bwana watu tuna "NONDO ZA KUTISHA KUNAKO UCHUMI"...ndio maana hata mkuu wa nchi alivyoulizwa "unadhani afrika na tanzania ikiwa moja wapo ya nchi za afrika yenye resources kibao kwanini haiendelei kiuchumi ?" akajibu "SIJUI.... ilhali amesoma uchumi....anyway forget that...frastrations za maisha ndo zinanisumbu....tuna dhahabu tubagawa bure mpaka mchanga na kutimua wananchi wetu ili tuwakuzie uchumi wageni..arghhhhhhh.Naona mkanganyiko kdogo kwenye suala la "good will". Kwanza naomba tupewe kiswahili chake halafu pia naomba mwenye data za uhakika kuhusu maana yake amwage hapa.