Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,401
- 20,660
...hata wasipowapa majibu, hali ya mama na kichanga zikiwa bado imara miaka miwili na zaidi (bila ukurutu na majipu ya hapa na pale) aaahhh, 'umevuka'!!!
Mkuu, taabu ni pale kama uliendeleza kuuza mechi hata baada ya mtoto kutia timu.
Kupima ngoma si mchezo wazee kama your past history kwenye mambo hayo haivutii. Cha msingi sana ni kubadili tabia kabisaaaaa kabla hata hujapanga kwenda kupima.