Nataka kupima ngoma

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
jamani nimekata shauri nusu nusu ila bado sijaamua mazima....nataka kupima ngoma......nishaurini.....

....kuhusu past yangu aaah maa jali huwa yanatokea ndomu kupasuka sometimes nimeuza timu sio sehemu moja........ vitu kama hivyo.....
 
Nenda wala usiogome mwaya...ila uwe tayari kwa lolote na uwe tayari kulipokea. Kila la kheri.
 
lol bado nasita sita.....

hapo ndio pagumu.....

...ugumu unatoka wapi bana wewe?!.... wewe umeshaamua kuwa MUMIANI ni sharti nawe utoe damu walau basi kusaidia walioumia mahospitalini siku mojamoja ili ku-complete the circle....!!
 
Mara ya mwisho umefyatuka au kuuza timu lini?

Kama ni baada ya miezi tatu, jipeleke fasta ukapime. Then uache hako ka mchezo completely.

Ni uamuzi wa busara huu unaotaka kufanya. All the best!
 
...ugumu unatoka wapi bana wewe?!.... wewe umeshaamua kuwa MUMIANI ni sharti nawe utoe damu siku moja walau basi ku-complete the circle....!!
tatizo kwenye kusubiri majibu.......yaani unakumbuka ajali zote ulizofanya......ngoja nipate ushawishi nione kama nitakwenda....
 
Ok then you will not accomplish your goals (footer..) 2010. Tena bora uende ss peke yako kabla ya kwenda na partner then siri yako ikazidi kuvuja! au vipi bwana.
 
Mara ya mwisho umefyatuka au kuuza timu lini?

mkuu kuuza timu basi unafikiri huwa napanga....najikuta tu nimeuza within 5 months nimeshauza timu mara 3 in different timu.....pamoja na kwamba sio vimeo saaana hizo timu
 
mkuu kuuza timu basi unafikiri huwa napanga....najikuta tu nimeuza within 5 months nimeshauza timu mara 3 in different timu.....pamoja na kwamba sio vimeo saaana hizo timu

Fantastic! within 5 months, timu imeuzwa mara 3, at different pitches!

Huwa unakuwa umelamba sana maji!? maana hiyo kusema ati huwa hupangi bali inatokea tu....

Anyway, usihofu sana lakini. Ma-striker kama ninyi najua huwa mnazama na zana za kufa mtu. Usiwe na hofu, wahi haraka ucheki hali then goal yako (ya2010) uifanye haraka. Tutachangia tu mkuu!
 
Sio Mbaya kujuwa Status yako....ila nakumbuka ilinikuta mimi Novermber mwaka jana nilianza kuchemka wakati nikisubiri majibu pale Burhan nikaona mpaka soksi zinarowa kwa jasho...ila nashukuru maana na mimi nilikuwa najila ganji kinoma... all the best yoyo ila usubiri majibu yako
 
mkuu kuuza bana inatokea na kuna sehemu hata ukiwa full zana unauza tu.....check https://www.jamiiforums.com/416592-post10.html

Mkuu Yo Yo, nimekubali. Kwa mambo yale, na kama umeshalamba vijichupa vya Tusker baridi, kweli inatokea kuuza timu!

Lakini kama ngoma imeshatia timu utajua tu mkuu, vijihoma vya hapa na pale, uchofu, kikohozi kikavu n.k

Kama hujaanza kuona mambo hayo, wahi faster ukapime.
 
mkuu kuuza bana inatokea na kuna sehemu hata ukiwa full zana unauza tu.....check https://www.jamiiforums.com/416592-post10.html

Mkuu Yo Yo, nimekubali. Kwa mambo yale, na kama umeshalamba vijichupa vya Tusker baridi, kweli inatokea kuuza timu!

Lakini kama ngoma imeshatia timu utajua tu mkuu, vijihoma vya hapa na pale, uchovu, kikohozi kikavu n.k

Kama hujaanza kuona mambo hayo, wahi faster ukapime.
 
mkuu kuuza timu basi unafikiri huwa napanga....najikuta tu nimeuza within 5 months nimeshauza timu mara 3 in different timu.....pamoja na kwamba sio vimeo saaana hizo timu

Tatizo inaonekana huwa ukiuza timu unafanya ndalilo kwelikweli. Wenzio wakiuza timu huwa wana "chwa" halafu wanatoa timu uwanjani. Wewe unaonekana una "chwaaaaaa" halafu unajituma kufukuzia "chwaaaaa" nyingine kama nne hivi. lol

Kapime bana...Mungu si Athumani!!
 
nenda upime tu kisha usitake kujua majibu, hiyo pia inatosha.

Hiyo haitoshi Mwita!

Akapime, asubirie na kisha kuyajua majibu kabla hajajiingiza kwenye kulambalamba tena. Na ikiwa ni mlambaji kama anavyoonekana kutueleza, ni bora afanye hivyo kila baada ya mwezi mmoja hadi mitatu. Na ni muhimu kuwataarifu wale anaowalambalamba ili kama kuna wale wanaojali kutoendeleza basi wafahamu wanasimama wapi katika hili swala.
 
Back
Top Bottom